Mnadani KIBAMBA kama kawa

Mnadani KIBAMBA kama kawa

Utakua unafanya nini hapo mnadani tangu asubuhi?
Ntaenda baadae kula [emoji238][emoji238]

Naanza kwa.Mangi
20211003_094154.jpg
 
Vijana mkishapata ajira mnaanza dharau, yaani hata kwenda kula supu lazima ututangazie kwani?
 
Vp mkuu minada ya huko darisalaama bia hua zinakua bei tofauti au ni ile Ile 1500

Maana huku ukienda mnadani unakuta bia ni ya Moto bei 2000 ila sijui wale watu wanawekaga nn huko aisee bia zao tamu balaa
ukiweka hapo na mguu wa mbele wa mbuzi+na mbavu zake utakunywa kret na bado unatembea usiombe pia mue na kampan kubwa utataman kila siku iwe na mnada
 
Back
Top Bottom