Vp mkuu, Mnada wa magari bdo upo?Yeah unafanyika hapo jumatatu na ijumaa sasa hivi unaendeshwa na kampuni ya YONO
We we utakuwa mmachame wa masamamtu katoa mzigo from Japan mpaka Bongo wewe unataka uchukue kwa urahisi kama unashuka kwa sadala
kununua vitu cta dhuluma mungu anatuona.Vitu vya mnada naona ni nuskii na laana tupuuu.
Maana wengine wanaodudhulumiwa na kuonewa kw akutokujua tuu.
Sifikirii kwenye maisha yangu kununua vitu vya mnada wa style hii kabisaaaa.
Bora niongeze kidogo tu nichukue kwa uhalali na bila mashaka yoyote
Nitumie mi mwaminifu mkuudaaaah ningekuwa mjini ningeenda kujipatia pickup
= tafadhaliPicha tafadhari
Kapicha basiIle Bentley ya Kusaga CEO Wa Clouds nayo ipo kwenye list hapo?
Walitangaza gazeti la mwananchi alhamisi iliyopita....Mbona hawakutangaza mapema?
Upo sahihi lakini hii ya sasa ilitangazwa wiki iliyopita mwananchi ya alhamisi na hii inawahusu tpa tu coz tra washalipwa mafao yao. Hz nyingi ni local units ambazo zimelipwa ushuru lakini wakashindwa kulipa storage za bandari so bandari inauza ipate pesa yao na wapunguze mzigo kwenye yard zaoNi minada ambayo ipo tu kila week mbona? Kuna magari na vitu tofauti tofauti kila week na ni pale LW9 ndio mnada hufanyikia hapo. sidhani kama kuna jipya sana, magari ni mengi this time na wamepandisha bei kimtindo. ukikosa leo ndenda next week Monday au watatangaza tena siku ya mnda week ijayo ila kwa week hufanyika mara mbili. Tatizo ni maafisa wa TRA kila siku wanajifanya wako busy kwahio unaweza kuambiwa mnada ni saa nne au saa tano lakini saa nane mkatangaziwa kuwa mnada hautakuepo! Yaani kwao ni kitu cha kawaida tu
Huo utaratibu wa kupiga mnada vitu vya watu sio fair kumbuka hasara aipatayo mwenye Mali ilitakiwa akishindwa kulipa alipe kidogokidogo Kwa kupewa plate number ya rangi maalumu kuitambulisha kuwa gari hili bado linadaiwa akimaliza deni lake ndo upewa plate number stahiki kuliko kuuza Mali ya MTU.Mungu anatuona.mtu katoa mzigo from Japan mpaka Bongo wewe unataka uchukue kwa urahisi kama unashuka kwa sadala
Umenena usinunue vitu vya dhuluma,mnada tasfiri yake ni dhuluma hakuna mwenyemali afurahie kitu chake kiuzwe wakati kaumia kukiagiza angepewa taratibu rafiki za kumfanya akikomboe kitu chake,mfano alipe kidogo kidogo,ajidhamini,apewe kipaumbele kuuziwa kitu chake kwenye mnada nk.Vitu vya mnada naona ni nuskii na laana tupuuu.
Maana wengine wanaodudhulumiwa na kuonewa kw akutokujua tuu.
Sifikirii kwenye maisha yangu kununua vitu vya mnada wa style hii kabisaaaa.
Bora niongeze kidogo tu nichukue kwa uhalali na bila mashaka yoyote
Shida taarifa sahii pia mambo ya kuaplift TRA wanachukua kodi kubwa kuliko bei halisi ya kununua mzigo,wanataka hela kubwa kuliko mtengenezaji au muuzaji wa mzigo,Kwa sisi wajasiliamali wadogo kuinuka inakuwa ngumu,kumbuka hatuzalishi vitu tunagiza.Dah inakuwaje mtu anaagiza mzigo kutoka Japani, au china halafu anashindwa kulipia?
Je anakuwa hana taarifa sahihi za kodi?
Au ni kapata pesa faster kaona na yeye aagize?
Make ninavyo jua unavyo agiza unakuwa ushajipanda na akila aina ya kodi au makato ya TRA na wenye bandari
Sio majembe ni YonoKwa wenye mipesa yao ni muda muafaka mnada unaendeshwa na majembe auction mart.