Mna uhakika Vatican hawawezi kutupa Mkopo?

Mna uhakika Vatican hawawezi kutupa Mkopo?

Pamoja na pongezi kwa Baba Mtakatifu Leo XIV. Narudia tena kuuliza.mna uhakika hawa Vatican hawawezi kutukopesha?
Wewe ni mwanachama au ni walewale wa kukejeli? Hili ni kanisa la kweli na lina baraka zote za maneno ya biblia.

Wakikunyooshea kidole kitafakari mara mbili. Kwa mawazo yangu sio mkopo ni kueneza injili ya bwana wetu walioachiwa kanisa kwa uwezo wa roho mtakatifu.

Ndiyo maana haliyumbi.

Nawaachia wanateologia wakujibu zaidi kama hawatakuonaj mjinga.

Asante
 
THE BIG SHOW ana maoni gani? Akikubali tunakwenda kukopa Vatican Bank. TEC watatudhamini 😂😂😂

IMG-20251116-WA0045.jpg
 
THE BIG SHOW ana maoni gani? Akikubali tunakwenda kukopa Vatican Bank. TEC watatudhamini 😂😂😂

View attachment 3508633
Ha ha ha

Tatizo hao wapiga nyeto jamaa zao hawana hela...

Sana sana kule tutaambulia kupata misalaba na sanamu za bikra maria na yesu kristo tuh

Sasa sisi tunataka SASAMPA...misalaba na sanamu sisi za kazi gani.?
 
Back
Top Bottom