MMU: Tujadili siasa na mustakabali wa afya zetu ......

nimeyaambukiza, yote yamelazwa.
Si unaona hayaonekani siku hizi humu.

Eti bepari limeamua kujitibu kwa ugoro

afu wewe nataka ile midume mingine yote uiambukize gono ili isipone kwenye huu mgomo nikufaudu peke yangu.
 
Mjadala uliomo humu na thread yenyewe tofauti.

Hata hivo chochote kile ukitaka ukigeuze siasa inawezekana tu ni wewe mwenyewe kuamua kiwe siasa ama si-ha-sa.
 
Mjadala uliomo humu na thread yenyewe tofauti.

Hata hivo chochote kile ukitaka ukigeuze siasa inawezekana tu ni wewe mwenyewe kuamua kiwe siasa ama si-ha-sa.
Hapa inajadiliwa si ha sa, tunaomba mchango wako!
 
Kwanza kabisa ningeomba ni "declare my interest"kuwa mimi ni dokta by professional na namuunga mkono mtoaji wa huu uzi.ningeomba wana MMU tuweke mapenzi pembeni na tujadili hoja kwani "uwezi ku do kama unaumwa".
 
Daktari unawaona hao watu hapo juu wanavyochakachua hii sredi?

Nasikia mkulu kabisa kawaita ikulu kuwapa juisi kama CHADEMA....

Vipi kimeelewaka? Mipododo, kuku watamu na albatar watakuwa salama sasa?

Nchi yangu, madaktari wangu.
 
Back
Top Bottom