MMU: Tujadili siasa na mustakabali wa afya zetu ......

Wapendwa waungwana wenzangu wa MMU na vitongoji vyake (Chit Chat na Mambo ya wakubwa)

Najua kuwa leo ni Ijumaa (Furahi Dei)
Najua kwamba hili si jukwaa la siasa
Najua kuwa wengi wetu mna aleji la malumbano ya kisisasa
Najua jukwaa letu pendwa hili huwa hatuna chuki wala malumbano makali ya kisiasa/kikabila wala udini
Najua hapa tunaishi kama ndugu wa familia moja

Vile vile nafahamu kuwa:
Sisi ni wahanga wa mgomo wa madaktari
Sisi ni wahanga wa yatokanayo na mgomo huo na maamuzi ya viongozi wake ambao baadhi yao tumewachagua sisi.
Sisi tunaumizwa sana na tukio hili ambalo linapoteza ndugu, jamaa, marafiki, majirani, watoto, wazazi na wapenzi wetu.

Yaani mimi ODM mimi:
Naumia sana kwa mtu mmoja kushindwa kufanya maamuzi yatakayoepusha dhahma hili
Naumia sana kwa watu wawili kushindwa kubeba dhamana ya kuwajibika kuepusha kadhia hii
Naumia sana kwa maelfu ya wataaluma wanaonewa na kudharauliwa kushindwa kutimiza majukumu yao kwa sababu ya watu wawili jumlisha mmoja.
Naumia sana kuona mamilioni ya watanzania maskini na walipa kodi kuteseka kwa sababu ya watu wachache namna hii.

Sasa naanza kuichukia nchi yangu (kama si bia ningekunywa sumu)

Eti waungwana wenzangu wa MMU (Wanatukandyaga sana hatuna time na SIHASA, msijali) Mnalionaje jambo hili? Tufanyeje sisi yailah toba??
Je Tuingie mitaani kuandamana?
Tusubiri mpaka 2015 kwa matumaini?
Tuwalambe madaktari miguu wavumilie kama sisi mpaka 2015 tufanye maamuzi magumu?
Tuhamishie kambi loliondo na kwa waganga wa jadi?
Au tutumie bia kama tiba mbadala?

Mimi bana mimi nimekasirika sana bana! Na MOD atakayeihamisha hii sredi MMU, naongozana naye lupango!.

Nikiongea kwa masikitiko toka kaunta ya juu hapa Kingstar Bar,
Ni mimi ODM wa wajukuu.
Kwa masikitiko makuu.

We nae wa wapi aisee???
Hapa ni stress free wewe unataka kuleta stress???
Babu eeehhhh tuache na raha zetu wengine tukisikia
tu neno siasa mori unapanda aaahhh unakata stimu kabisa
nini bana wewe aahhhhh
 
Afu bepari umeliwezea haswa manake lilizidi kutupigia makelele humu ndani...

Mkome shemeji yangu inahuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????
 
Jamani Wifi na weekend hii unakua na hasira hivo? Punguza dear na sogea hapa.... Leo nimeanda soup ya nyama ya mbuzi badala ya chai... Na chapati unazopenda nazo nimepika.... Karibu..
 
Shem naahidi jumatatu nitakua na akili kweli ya kuchangia hii topic bana! Hii weekend ovyo kabisa... Si unaelewa mimi sinywi vilevi ila Amarula tu? lol
 
Shem naahidi jumatatu nitakua na akili kweli ya kuchangia hii topic bana! Hii weekend ovyo kabisa... Si unaelewa mimi sinywi vilevi ila Amarula tu? lol
......Sasa hiyo Amarula huwa unaifanyanye kama ni kweli wewe hunywi!!??
Kiswahili kigumu eheeeh!!...
 
Kinachonishangaza sana na nadhani nitaendelea kushangaa ni style yetu watanzania ya kuyakimbia majukumu yetu,na kujifanya hayatuhusu.Ni jambo la ajabu sana raia wa nchi hii kudai hataki kusikia wala kujadili siasa na anaachana nayo na haimhusu wakati,madaktari wanagoma kwa sababu ya siasa mbovu na kusababisha vifo vya huyohuyo anaedai hashughuliki na siasa,watoto wake wakiugua hosptl hakuna dawa na kama zipo bei yake ni balaa,shule zetu hazina waalimu,vitabu,maisha yanapanda kila siku n.k,huyu anaedai siasa haimhusu atakua mziwa kweli?
 
Daktari unawaona hao watu hapo juu wanavyochakachua hii sredi?

Nasikia mkulu kabisa kawaita ikulu kuwapa juisi kama CHADEMA....

Nchi yangu, madaktari wangu.

Nimeambiwa Jukwaa hili anayeongoza kwa kuchakachuwa thread ni Geturde Lwakatare pamoja na Madam Spika Anne Makinda. ni member wa siku nyingi hapa MMU ila mmeshindwa kuwagunduwa na Lwakatare enzi za babu wa Loliondo alikuwa mkali sana hapa kwa kila thread ya kumpa ujiko babu wa Loliondo maana ajila ilikuwa hatarini.
 
Mimi nakula na kunywa....
Na ni kwa nini ukupenda kueleweka?

It is a weekend... ni a ka small test mtu kujua ana Hangover kiasi gani... Of coz Matola naamini unapenda Kunywa na kula.. Vipi wee unafikiri kwa nini sikutaka kueleweka?
 
It is a weekend... ni a ka small test mtu kujua ana Hangover kiasi gani... Of coz Matola naamini unapenda Kunywa na kula.. Vipi wee unafikiri kwa nini sikutaka kueleweka?
Badly nadhani nahitaji mtori muda huu maana naona kama vile nililala counter kwenye kiti kifupi, hizi weekend balaa tupu.
Ukutaka kueleweka kwa sababu ndivyo ulivyotaka, yaani hukutaka kueleweka.
 
Yaani mmechakachua sredi ya mgomo wa madaktari mpaka kwenye kula na kunywa??

Aisee!

Anyway ngoja na mimi nikazimue.
 
Badly nadhani nahitaji mtori muda huu maana naona kama vile nililala counter kwenye kiti kifupi, hizi weekend balaa tupu.
Ukutaka kueleweka kwa sababu ndivyo ulivyotaka, yaani hukutaka kueleweka.

Umeona kuhusu issue ya kueleweka eeeh? Wewe umenipata kabisa.. Ina maana Hangover at minimal...

Unapenda soup ya nyama ya Mbuzi na chapati? kuna juice pia... Karibu upate nguvu ya kukaa kiti kirefu ukienda counter..
 
Yaani mmechakachua sredi ya mgomo wa madaktari mpaka kwenye kula na kunywa??

Aisee!

Anyway ngoja na mimi nikazimue.

Mimi sijachakachua kabisa!! Nipo ndani ya topic za wachangiaji... jaribu kunisoma shem...:peep:
 
Umeona kuhusu issue ya kueleweka eeeh? Wewe umenipata kabisa.. Ina maana Hangover at minimal...

Unapenda soup ya nyama ya Mbuzi na chapati? kuna juice pia... Karibu upate nguvu ya kukaa kiti kirefu ukienda counter..
Nakuangalia tu, tangu jana sijaona kukaribishwa chochote. Hivi unadhani sina wivu kwa shem wangu?

Mimi jamani mimi, dah!:crazy:
 
Mwanamke kamili amenishauri kukaa nyumbani mara moja moja, nina hazina ya kutosha kwenye friji ya kuenjoy indoor weekend, napenda supu ya mbuzi lakini huwezi kukidhi viwango vyangu bila kichuri mambo yanakuwa hayajatimia, wewe nipe mtori kwa chapati unanitosha najuwa wanawake ni mahiri katika kuandaa mtori na sio supu ya mbuzi.
 
Nakuangalia tu, tangu jana sijaona kukaribishwa chochote. Hivi unadhani sina wivu kwa shem wangu?

Mimi jamani mimi, dah!:crazy:
Wivu wa kike!!......
Jitahidi hata siku moja moja na wewe uwe unabeba hata zawadi ya nanasi kwa shemejio na sio unakaa kitonga na kuweka neutral tu.
 
Jamani Wifi na weekend hii unakua na hasira hivo? Punguza dear na sogea hapa.... Leo nimeanda soup ya nyama ya mbuzi badala ya chai... Na chapati unazopenda nazo nimepika.... Karibu..
Wazamiaji tunaruhusiwa? nimeitamani hiyo supu ya nyama ya mbuzi..
 
Nikikusoma naona Amarula tu kwa screen:sleepy:
.

hahahaha..... No comment.

Nakuangalia tu, tangu jana sijaona kukaribishwa chochote. Hivi unadhani sina wivu kwa shem wangu?

Mimi jamani mimi, dah!:crazy:

Hivi na wewe unatakiwa kukaribishwa? haya maajabu jamani... Au ndio mshaanza kunitafutia maneno kua siwataki nyumbani? Mweee...
 
Back
Top Bottom