MMU: Tujadili siasa na mustakabali wa afya zetu ......

Bado hamjakubaliana tufanze nini. Husninyo hapo juu. Naitumikia fifty yangu.
 
Bado hamjakubaliana tufanze nini. Husninyo hapo juu. Naitumikia fifty yangu.

Umesha mkagua huyu? Anataka kula ile 50 hivi tulisema weupe kazi yao kutoa chupa na kuleta vinywaji weusi ndo wakutupepelea wkt vitu baridi vikishuka
 
Umesha mkagua huyu? Anataka kula ile 50 hivi tulisema weupe kazi yao kutoa chupa na kuleta vinywaji weusi ndo wakutupepelea wkt vitu baridi vikishuka

na ambao sio weupe wala weusi. Babu hajaruhusiwa kunikagua.
 
Mambo ya MoY Yamekujaje tena.... I thought yalikuwa masihara kule, lakini unavyoshupalia inavyoelekea umekwazika mpaka kuyaleta huku. Told u, mwenyewe najijua sideserve, na wala hayaniongezei chochote kile. Sasa nambie basi anayedeserve nimzawadie...khaa! Hii ni JF mama, dont take things too serious.

Heshima mbele kama kawa.
Haya, Turudi kwenye siasa na mustakabali wa afya za familia zetu.

Unastahili bana..acha kujihisi...Ur the MAN...........Uderserve it na Usiseme haikuongezei chochote kwani unawaangusha waliokupigia kura za kukuamini. Samahani kwa kukukwaza!!!!

Tukirudi kwenye mada.....mie nashauri tuandae kamati maalumu ya MMU na tuombe kuonana na raisi ikulu kama wale magwanda walivofanya.Huenda tukasaidia kumshauri mkulu na sakata hili likaisha bila maafa.
 
Umesha mkagua huyu? Anataka kula ile 50 hivi tulisema weupe kazi yao kutoa chupa na kuleta vinywaji weusi ndo wakutupepelea wkt vitu baridi vikishuka
Haya Husninyo tupe wasifu wa rangi ya ngozi yako ya nje ionwayo na watu wote.
 
Back
Top Bottom