Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,012
- 95,358
- Thread starter
- #161
Sijawahi wala sitegemei kujiunga na chama chochote kile cha siasa......hahaahah....nakuona umeingia kwenye siasa kiupoole!!
Halafu nina kadi yako ya uanachama wa CCM! karibu kundini!
Kama kuna Chama Cha Wanywa Bia Baridi naomba kadi!