MMU: Tujadili siasa na mustakabali wa afya zetu ......

Tuwakumbusheje sasa.... tuwaharibie baioloji zao?

Au tuhamishie vikojole vyao usoni? Naibu waziri mbona atatisha sana?

Hahahahah:crazy:

Mie nimesoma hapo kwa bold tu....:lock1:

Matourist wagome kwenda kubembea nchi za watu na wake zao? Misaada tutapataje sasa?
Khaaa sasa babu kwa kuharibu baologia tutafanikiwa kweli???

Mie nadhan tuingie tu street ukiwa mstari wa mbele kutuongozea hayo maandamano mpaka watawala wasikie kilio chetu!
 
Khaaa sasa babu kwa kuharibu baologia tutafanikiwa kweli???

Mie nadhan tuingie tu street ukiwa mstari wa mbele kutuongozea hayo maandamano mpaka watawala wasikie kilio chetu!
Ntakuwa kaunta ya juu, njooni niwaongoze kunywa taska malti baridi.
 
Ntakuwa kaunta ya juu, njooni niwaongoze kunywa taska malti baridi.

Duh! babu kaunta ya juu utuongoze kunywa taska malta baridi!
Kweli hii ni sihasa na mustakabali wa afya zetu ndani ya MMU,

That is my swty babu!
Aiseee! let me come that way lol!
 
Sihasa na mustakabali wa afya za mipododo na kuku watamu wetu.

:sleepy:
hahahahaaa........yani siasa kwani ni issue basi!!!.......
kwa mfano madokta wakigoma, hiyo ni issue ya afya,
Pinda akiongea issue ya madokta, hiyo ni issue ya afya
lakini Kikwete akitaka kuongelea madokta kwa kupitia wazee wa Daslam, hiyo sasa ndo siasa.

Au tufanye hivi,
Malima akienda kikagua makalavati Moro,
Hiyo ni siasa safi,
Akinda kukagua mipododo ya Moro, tena siku ya mipododo ulimwenguni!!
Hiyo ni sasa ni Abyuzi of siasa.
 
Duh! babu kaunta ya juu utuongoze kunywa taska malta baridi!
Kweli hii ni sihasa na mustakabali wa afya zetu ndani ya MMU,

That is my swty babu!
Aiseee! let me come that way lol!
Where are you @? Babu akusubiri.

Leo ni MMU na afya zatu.
Sihasa tupa kule!
 
hahahahaaa........yani siasa kwani ni issue basi!!!.......
kwa mfano madokta wakigoma, hiyo ni issue ya afya,
Pinda akiongea issue ya madokta, hiyo ni issue ya afya
lakini Kikwete akitaka kuongelea madokta kwa kupitia wazee wa Daslam, hiyo sasa ndo siasa.

Au tufanye hivi,
Malima akienda kikagua makalavati Moro,
Hiyo ni siasa safi,

Akinda kukagua mipododo ya Moro, tena siku ya mipododo ulimwenguni!!
Hiyo ni sasa ni Abyuzi of siasa.
Hehehehe...Kaenda kupiga mipododo watu wakasepa na bling bling zake. Manina zake!
 
Ati kwenye signature yako, kwani hodi ya chooni huitikiwaje?
Inaktegemea umekula wali gani....

Kama ni mweusi lazima ugune...
kama mweupe unakohoa kiduchu kwa msisitizo wa kushusha mambo.

kuku mtamu anahusika sana
Wewe madai ya madaktari unaona sio ya msingi?
Maji marefu ameanza kufanya vitu vyake
Madai yao yote ya msingi. Tatizo migimo yao inatupunguzia baadhi ya mipododo, kuku watamu na albatar.
 
upo angaza nini umenikumbusha cheti changu cha angaza hayo mavocabulary
hahahahaa........Responsibly...
yani wakati tunapata bia za kupandishia stumu,
matokeo tayari.......tunajua Kuku mtamu au lah!!!

karibu kwenye Ulimwengu wa uwazi!!
 
hahahahaa........Responsibly...
yani wakati tunapata bia za kupandishia stumu,
matokeo tayari.......tunajua Kuku mtamu au lah!!!

karibu kwenye Ulimwengu wa uwazi!!
Kweli upo juu
Nasikia kuna rapid test sikuhizi
Ndo mpo nacho hapo kaunta au
 
Back
Top Bottom