MMU Top 3 member in 12 angles!!! Is it fair?

MMU Top 3 member in 12 angles!!! Is it fair?

Kwa mara ya kwanza leo nimekula ujiko kudadadeki.

Ngoja nikapate Guiness kwa afya ya mwanzisha sredi.

Hakika leo utapata demu mkali. Usitumie kondom kwakuwa hatakuwa na HİV. Ukipata gono itakuwa bahati mbaya, uzuri göno lina tiba.

Unamasihara wewe!!!
Hihiihihiiii!
 
Hahahahahahahaaaa!
(Hiyo ndio salamu)
...
Jamen hamna kupoteza muda, wacha tujikite ktk Top 3 wetu!
...
...
1) MAHUDHURIO:
Heaven on Earth!
Daud omar!
Luck Star!
Hahahahahaaa wanajitahidi sana!
...
2) LIKE: hapa kuna makundi mawili wanaozigonga sana na wale vigwasa/mabahili!
..
Wanaogonga sana:
figganigga Mia!
farkhina!
life is Short!
..
Vigwasa:
Ngalikihinja!
miss strong!
...............!!!!
...
3) MAKAVU BILA CHENGA:
amu!
Babu Asprin!
...............!!!!
...
4) AGAINST FEMINIST:
majaribu 2013!
the choosen!
...............!!!!
...
5) SIJUI NIWAITEJE!:
Simplicity!
heaven on desert!
...............!!!!
...
6) UNPRADICTABLE!:
Watu 8!
kingkong 3!
...............!!!!
Hahahahahaaaa! Huu uchokodhi!
...
7) WATUKUTU!:
Mashaxizo!
mwekundu!
...............!!!!
Ooh! Wewe hukujitaja!
Sjui unajifagilia!
Haya bhana!
...
8) CHALLENGE:
Hapa kuna makundi mawili, wanaopenda ku-challange na wasiopenda kuchalenjiwa!
..
Waku-challange:
Eiyer!
Mashaxizo!
...............!!!!
..
Wasiopenda kuchalenjiwa:
lara 1!
mimi 49!
...............!!!!
Eee hao ukubaliane nao tu! Ukipingana nao na kuwachallange kidogo tu .....!
...
9) WANAOSIMAMIA VIZURI THIRED ZAO:
Eiyer!
gfsonwin!
Fixed Point!
Yaani wanavyosimamia thread zao hadi raha!
...
10) WAWEKAJI MADA MZURI, ZINAZOENDANA NA MMU!:
Himidini!
Mtambuzi!
................!!!!
...
11) HAWA WATU WAKO FAIR SANAAA!:
Hapa kuna makundi mawili W/me na W/ke:
..
W/me ni:
Mentor Ma ticha!
Mapi!
BAK!
..
W/ke ni:
sister!
christine ibrahim!
Mamdenyi!
...
NB: Yoyote anaweza kujalizia mapengo hayo na ujumbe utafika!
Hii sio kwa kuwekeana chuki! Ndio kawaida ya matokeo!
Ukinuna sana vunja keybord!
...
12) WANAJOKES!
Yani hao nacheka sana nikisoma post zao! Na wenyewe ni:
asigwa!
Kongosho!
Washawasha Nalog off!
Wandugu; mie bado kinda naomba wandugu nikomaee kidogo!
 
Wandugu; mie bado kinda naomba wandugu nikomaee kidogo!

Hahahahahaaa!
Mbona umeshakomaa ndugu! Wewe na figganigga licha ya kugonga sana likes, you are intelligents too!
Nazionaga post zenu!
....

....
Afu Mimi 49 vipi ulinimwagia sumu nini! Afu ukanionea huruma, ukaona mzigo uuerase! Aren't you?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom