MMU Top 3 member in 12 angles!!! Is it fair?

MMU Top 3 member in 12 angles!!! Is it fair?

Heheh sasa huoni kama unampendelea...yaani juzi tu hapo.
Kuna raia wapo hapa full time yaani wanaweza wasitoe comments ila wao ni likes tu mfano Mamndenyi, Mr Rocky, Kaizer etc na wapo kitambo

yeah kuna watu kama kina Mr Rocky tangu 2007 wamejiunga hum na hadi sasa wako active members

watu kama wewe...kina Kaizer Mamndenyi na wengineo watu tumejiunga majuzi lakin as if tumejuana

na nyie tangu miaka hiyo!!!!!mi I SALUTE you guys..siku zote
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom