MMU Top 3 member in 12 angles!!! Is it fair?

MMU Top 3 member in 12 angles!!! Is it fair?

Huwezi kusema top 3 ya good story ..........Majibu ya kueleweka........ utulivu kwenye uzi........ majibu ya juu kwa juu......... bila kumtaja ........................

Jamani Mamdenyi ndio umekarisika hivyo!
 
Eee! Spati picha kama huo ukigwasa ni kwenye likes tu au na mambo mengine! Hihihihihiii!
Embu angalia idadi ya post zako, likes received kisha linganisha na likes ulizotoa!
Mwee! Utadhani ukigonga like utafilisika lol!

Looooh......natumia cm kwhyo siwez gonga like na kupokea other notification xcept pm ndo naona.Kwhyo usikonde wala nn????

Hvyo vingine ukitaka niambie naweza nkaeka pembeni huo ukigwasa wangu
 
Looooh......natumia cm kwhyo siwez gonga like na kupokea other notification xcept pm ndo naona.Kwhyo usikonde wala nn????

Hvyo vingine ukitaka niambie naweza nkaeka pembeni huo ukigwasa wangu

Hahahahaaa!
Utatoa kweli?
...
mwekundu huna jipya mwenzio nataka kupewa!!!
 
Last edited by a moderator:
Daaah sipo hata kwenye kundi la wakarimu na wakaribisha wageni bora MMU?

Jamen! MMU ni jukwaa tofauti kabisa na lile jukwaa la utambulisho! top 3 za MMU ndani ya MMU!
...
Kuhusu ukarimu hapo! Mmh! May be! But mi nahisi uko-normal!
 
Back
Top Bottom