mwekundu
JF-Expert Member
- Mar 4, 2013
- 22,477
- 21,025
Hii verse nmeikubali sana kuna urali wa vina
Cc Madame B
Last edited by a moderator:
Hii verse nmeikubali sana kuna urali wa vina
Hahaa eti mim niko fair sana.....mwe...
Asante kwa hiyo sifa.....
christine ibrahim....njoo mamy...sisi tuko fair...
Aah... Utaharibu ndoa #kimya kimya!!Hahahaaa!
Mwekundu wakali wakutongoza MMU namfahamu m1 tu (wewe) hihihihiii!
Moreover! Kuna top 3 wengi tu kwa mfano avatar zenye utata!
Signature kali! Etc but ingeniwia vigumu coz sijafatilia hayo makitu! Kwa mfano kutongozana, watu si wana PM?
tinna cute ya kwako hiyo!
Khaa!
Kwani atakueka kichwani??
...
Mi naliaminia jembe langu hilo!
Afu iyo sauti yako kama ya kibonge kibonge vile!!! Uwiiii mwekundu kuja pande hizi
Kuna swali lako!
Mie ni bonge haswa!!!!!!! kijana wako lazima nimvunje mbavu....
Unajua ardhi nyingine zina rutuba na unyevu kwa wingi huitaji jembe kulima.
Uwiiiii! Kumbe kibonge dah!
Na jamaa anavyopenda manundu ndio utammaliza kabisaaaa!
Aaaa! Ndio mana anakung'ang'ania!
...
Good boy uko wapi?
Huku kuna mambo yetu yale {inyeee!!!!}
uzuri wa tausi mkia!
Mie ni bonge haswa!!!!!!! kijana wako lazima nimvunje mbavu....
Unajua ardhi nyingine zina rutuba na unyevu kwa wingi huitaji jembe kulima.
Natongoza kikubwa...nitamuoa,sitamchezea!!nitamuenzi!!Uwiiiii! Kumbe kibonge dah!
Na jamaa anavyopenda manundu ndio utammaliza kabisaaaa!
Aaaa! Ndio mana anakung'ang'ania!
...
Good boy uko wapi?
Huku kuna mambo yetu yale {inyeee!!!!}
uzuri wa tausi mkia!
Ataniweza mie huyo??
DOmmy mkuu acha kulia!! upo fulltime usipunguze...