M Mr Rocky JF-Expert Member Joined Oct 10, 2007 Posts 15,178 Reaction score 14,383 Dec 16, 2011 #701 Bishanga said: mi na dena amsi tuna chupa za maji bana. Click to expand... Wapi wakati mmeweka konyagi zinazofanana na maji Na niliwaona wakati mnakata chupa ya konyagi mkagawana wawili
Bishanga said: mi na dena amsi tuna chupa za maji bana. Click to expand... Wapi wakati mmeweka konyagi zinazofanana na maji Na niliwaona wakati mnakata chupa ya konyagi mkagawana wawili
Eiyer JF-Expert Member Joined Apr 17, 2011 Posts 28,259 Reaction score 20,914 Dec 16, 2011 #702 Bishanga said: ushakaa na NN,wapi,sa ngapi? Au mlikutana central NN akiwa na tuhuma za kumtia za uso Lizzy? Click to expand... Heeee!Lugha gani tena hii?Hebu pigeni mswaki ebo!
Bishanga said: ushakaa na NN,wapi,sa ngapi? Au mlikutana central NN akiwa na tuhuma za kumtia za uso Lizzy? Click to expand... Heeee!Lugha gani tena hii?Hebu pigeni mswaki ebo!
Yummy JF-Expert Member Joined Sep 26, 2011 Posts 1,796 Reaction score 1,337 Dec 16, 2011 #703 Nyani Ngabu said: Tulikaa wapi Mama Tuli? Click to expand... Usiogopeee......hukuharibu yani tena ulipotambulishwa hukuvutiwa kbsa na mm ukaendelea na shughuli zako lol
Nyani Ngabu said: Tulikaa wapi Mama Tuli? Click to expand... Usiogopeee......hukuharibu yani tena ulipotambulishwa hukuvutiwa kbsa na mm ukaendelea na shughuli zako lol
Yummy JF-Expert Member Joined Sep 26, 2011 Posts 1,796 Reaction score 1,337 Dec 16, 2011 #704 Bishanga said: ushakaa na NN,wapi,sa ngapi? Au mlikutana central NN akiwa na tuhuma za kumtia za uso Lizzy? Click to expand... Makubwa haya! Wapi,sangapi itakua ngumu maana hata masaa yanatofautiana.....bora ungeniuliza mwaka gani? Ila ilikua nyumbani kwa mshkaji
Bishanga said: ushakaa na NN,wapi,sa ngapi? Au mlikutana central NN akiwa na tuhuma za kumtia za uso Lizzy? Click to expand... Makubwa haya! Wapi,sangapi itakua ngumu maana hata masaa yanatofautiana.....bora ungeniuliza mwaka gani? Ila ilikua nyumbani kwa mshkaji
Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 97,161 Reaction score 137,228 Dec 16, 2011 #705 Mama Tuli said: Usiogopeee......hukuharibu yani tena ulipotambulishwa hukuvutiwa kbsa na mm ukaendelea na shughuli zako lol Click to expand... Mama Tuli said: Makubwa haya! Wapi,sangapi itakua ngumu maana hata masaa yanatofautiana.....bora ungeniuliza mwaka gani? Ila ilikua nyumbani kwa mshkaji Click to expand... Hahahahaa wacha bana!
Mama Tuli said: Usiogopeee......hukuharibu yani tena ulipotambulishwa hukuvutiwa kbsa na mm ukaendelea na shughuli zako lol Click to expand... Mama Tuli said: Makubwa haya! Wapi,sangapi itakua ngumu maana hata masaa yanatofautiana.....bora ungeniuliza mwaka gani? Ila ilikua nyumbani kwa mshkaji Click to expand... Hahahahaa wacha bana!
Bishanga JF-Expert Member Joined Jun 29, 2008 Posts 15,321 Reaction score 10,077 Dec 17, 2011 Thread starter #706 Nyani Ngabu said: Kumfanya nini Lizzy? Click to expand... kumparura Lizzy
Bishanga JF-Expert Member Joined Jun 29, 2008 Posts 15,321 Reaction score 10,077 Dec 17, 2011 Thread starter #707 Mama Tuli said: Hapana,nafanya kazi kwa mzungu mmoja hapo karibia na Qb........na pia napenda kufanya mazoezi nipunguze kitambi. Click to expand... wewe ni He au She?
Mama Tuli said: Hapana,nafanya kazi kwa mzungu mmoja hapo karibia na Qb........na pia napenda kufanya mazoezi nipunguze kitambi. Click to expand... wewe ni He au She?
Bishanga JF-Expert Member Joined Jun 29, 2008 Posts 15,321 Reaction score 10,077 Dec 17, 2011 Thread starter #708 sweetlady said: Khaaa! Yale mapigo hufanani nayo asee, yule kapinda mbaya...kweli walimwengu wabaya sana. Click to expand... mapigo? Mmmhhhhh!!!
sweetlady said: Khaaa! Yale mapigo hufanani nayo asee, yule kapinda mbaya...kweli walimwengu wabaya sana. Click to expand... mapigo? Mmmhhhhh!!!
Rejao JF-Expert Member Joined May 4, 2010 Posts 9,219 Reaction score 4,086 Dec 17, 2011 #709 Mama Tuli said: Hahahaaaa sitakii mie nisije pelekwa mahakamani wakati sina hela ya kumlipa lawyer! Nishawahi kukaa nae mara 2 ila yy hawezi kunijua hata akatambike! Click to expand... Kuna lawyer wa kujitolea JF naye ni Klorokwini..so jiachie utakavyo!
Mama Tuli said: Hahahaaaa sitakii mie nisije pelekwa mahakamani wakati sina hela ya kumlipa lawyer! Nishawahi kukaa nae mara 2 ila yy hawezi kunijua hata akatambike! Click to expand... Kuna lawyer wa kujitolea JF naye ni Klorokwini..so jiachie utakavyo!
M Mr Rocky JF-Expert Member Joined Oct 10, 2007 Posts 15,178 Reaction score 14,383 Dec 17, 2011 #710 Mama Tuli habari za masiku bana. Nilisafiri kidogo na TF kwenda kuhubiri injili ila nimerudi salama Habari ya mtoto wetu Tuli
Mama Tuli habari za masiku bana. Nilisafiri kidogo na TF kwenda kuhubiri injili ila nimerudi salama Habari ya mtoto wetu Tuli
Kongosho JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 35,987 Reaction score 24,227 Dec 17, 2011 #711 Nimeondoka kidogo yu mkaanza na kuparurana? Haya umemparura sehemu zipi? Bishanga said: kumparura Lizzy Click to expand...
Nimeondoka kidogo yu mkaanza na kuparurana? Haya umemparura sehemu zipi? Bishanga said: kumparura Lizzy Click to expand...
Rejao JF-Expert Member Joined May 4, 2010 Posts 9,219 Reaction score 4,086 Dec 17, 2011 #712 kongosho said: Nimeondoka kidogo yu mkaanza na kuparurana? Haya umemparura sehemu zipi? Click to expand... Hujalala tu na wewe! Ebu njoo upesi kitandani.
kongosho said: Nimeondoka kidogo yu mkaanza na kuparurana? Haya umemparura sehemu zipi? Click to expand... Hujalala tu na wewe! Ebu njoo upesi kitandani.
Kongosho JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 35,987 Reaction score 24,227 Dec 17, 2011 #713 asa we umenikazia mcho mno nikaona nita-melt to your wishes nkakimbia Rejao said: Hujalala tu na wewe! Ebu njoo upesi kitandani. Click to expand...
asa we umenikazia mcho mno nikaona nita-melt to your wishes nkakimbia Rejao said: Hujalala tu na wewe! Ebu njoo upesi kitandani. Click to expand...
Bishanga JF-Expert Member Joined Jun 29, 2008 Posts 15,321 Reaction score 10,077 Dec 17, 2011 Thread starter #714 Mr.Rocky said: Mama Tuli habari za masiku bana. Nilisafiri kidogo na TF kwenda kuhubiri injili ila nimerudi salama Habari ya mtoto wetu Tuli Click to expand... Rocky,na wewe umejoin utapeli wa TF na Husninyo wa kukusanya sadaka kwa dola?
Mr.Rocky said: Mama Tuli habari za masiku bana. Nilisafiri kidogo na TF kwenda kuhubiri injili ila nimerudi salama Habari ya mtoto wetu Tuli Click to expand... Rocky,na wewe umejoin utapeli wa TF na Husninyo wa kukusanya sadaka kwa dola?
Bishanga JF-Expert Member Joined Jun 29, 2008 Posts 15,321 Reaction score 10,077 Dec 17, 2011 Thread starter #715 kongosho said: Nimeondoka kidogo yu mkaanza na kuparurana? Haya umemparura sehemu zipi? Click to expand... jana mbona nimekuja Geoorge n Dragon sijakuona? Au wewe ndo kale kachangu niliona kamebana na kibabu kizungu hakina hata meno?
kongosho said: Nimeondoka kidogo yu mkaanza na kuparurana? Haya umemparura sehemu zipi? Click to expand... jana mbona nimekuja Geoorge n Dragon sijakuona? Au wewe ndo kale kachangu niliona kamebana na kibabu kizungu hakina hata meno?
M Mr Rocky JF-Expert Member Joined Oct 10, 2007 Posts 15,178 Reaction score 14,383 Dec 17, 2011 #716 Bishanga said: Rocky,na wewe umejoin utapeli wa TF na Husninyo wa kukusanya sadaka kwa dola? Click to expand... Hujagundua kuwa tumeoteshwa lile vogue lako unapaswa kulileta kama sadaka Na pia ile account yako ya dola tunaiomba iwe ya kanisa
Bishanga said: Rocky,na wewe umejoin utapeli wa TF na Husninyo wa kukusanya sadaka kwa dola? Click to expand... Hujagundua kuwa tumeoteshwa lile vogue lako unapaswa kulileta kama sadaka Na pia ile account yako ya dola tunaiomba iwe ya kanisa
Yummy JF-Expert Member Joined Sep 26, 2011 Posts 1,796 Reaction score 1,337 Dec 17, 2011 #717 Mr.Rocky said: Mama Tuli habari za masiku bana. Nilisafiri kidogo na TF kwenda kuhubiri injili ila nimerudi salama Habari ya mtoto wetu Tuli Click to expand... Mahabubaaa,mswaki wa moyo wangu!karibu sana. Mmefanikiwa kurudisha c***za watu wote mlio watoa mapepo??Bishanga naona utakua umeshapata jibu la swali lako.
Mr.Rocky said: Mama Tuli habari za masiku bana. Nilisafiri kidogo na TF kwenda kuhubiri injili ila nimerudi salama Habari ya mtoto wetu Tuli Click to expand... Mahabubaaa,mswaki wa moyo wangu!karibu sana. Mmefanikiwa kurudisha c***za watu wote mlio watoa mapepo??Bishanga naona utakua umeshapata jibu la swali lako.
Yummy JF-Expert Member Joined Sep 26, 2011 Posts 1,796 Reaction score 1,337 Dec 17, 2011 #718 Rejao said: Kuna lawyer wa kujitolea JF naye ni Klorokwini..so jiachie utakavyo! Click to expand... Nikijiachia,utaniweza?
Rejao said: Kuna lawyer wa kujitolea JF naye ni Klorokwini..so jiachie utakavyo! Click to expand... Nikijiachia,utaniweza?
Yummy JF-Expert Member Joined Sep 26, 2011 Posts 1,796 Reaction score 1,337 Dec 17, 2011 #719 Bishanga said: wewe ni He au She? Click to expand... Kwanini tuandikie mate bandugu,we ukiniona ndo utakapojua she or he. Tatizo lako liko wapi kwani,mm najiandaa kukutana na ma she tuuu!kazi kwako.
Bishanga said: wewe ni He au She? Click to expand... Kwanini tuandikie mate bandugu,we ukiniona ndo utakapojua she or he. Tatizo lako liko wapi kwani,mm najiandaa kukutana na ma she tuuu!kazi kwako.
Fidel80 JF-Expert Member Joined May 3, 2008 Posts 21,945 Reaction score 4,499 Dec 17, 2011 #720 Mama tuli umeamkaje?