MMU special offer

bebii mjanja...
Anataka kuwachunguza wakaka wa jf bila taarifa.

Kwa picha atajua nani anaonekana vipi ...mvuto muhimu.
Kwa cv atajua nani amesoma mpaka daraja lipi...kisomo muhimu na umri.
Barua atajua uwezo wako wa kujieleza na experience....ujanja muhimu.

Akishajua hayo anarudi kwenye ile list ya waliotupa ndoano kuangalia nano anakidhi vigezo na nani hakidhi vigezo.
Lolz..
ahaaa lizy acha kuwakatisha tamaa wenzio mimi nilishapata siku nyingi muulize ashadii ndo shaidi mimi nilitaka tu kuwasaidia mabest zangu wa jf
 
Bebii mjanja...
Anataka kuwachunguza wakaka wa JF bila taarifa.

Kwa picha atajua nani anaonekana vipi ...MVUTO MUHIMU.
Kwa CV atajua nani amesoma mpaka daraja lipi...KISOMO MUHIMU na UMRI.
Barua atajua uwezo wako wa kujieleza na experience....UJANJA MUHIMU.

LOLZ..
Back to reality,....
1.Mimi sura ya kokoto...hivyo mvuto zero
2.Nimesoma mpaka form three(3),..na nina 54yrs...hapo nafikiri kidogo nina vi_marks
3.Kwa sababu ni mtz_kujiexpress ni kama kawa...hapa ujanja ndio ntakapo zoa marks kufidia za hapo juu nilipopata zero.
 
Wifi usisahau cv huwa inasema marital status,lol
Nakungojea kule kwa zawadi,mbona wanweka roho juu jamani?

unatafuta mchumba kisiasa baby? Ww mtoto kitchen party yako inabidi tukaifanyie ukonga gerezani na kungwi awe mke wa mkuu wa gereza. Mj1,adi, swtlady na nyamayao hawakuwezi
mimi sitafuti mchumba bwana nikitaka mchumba naweka thread yake hapa tu kawaida ujue nabii hakubaliki kwao
 
yeah_sure!...ila kumbuka kuleta matokeo ya interview hapa_sawa bebii.
 
picha muhimu
picha yoyote au yangu? kama yangu umeolewa? kama hujaolewa kwaheri!!

Bebii mjanja...
Anataka kuwachunguza wakaka wa JF bila taarifa.

Kwa picha atajua nani anaonekana vipi ...MVUTO MUHIMU.
Kwa CV atajua nani amesoma mpaka daraja lipi...KISOMO MUHIMU na UMRI.
Barua atajua uwezo wako wa kujieleza na experience....UJANJA MUHIMU.

Akishajua hayo anarudi kwenye ile list ya waliotupa ndoano kuangalia nano anakidhi vigezo na nani hakidhi vigezo.
LOLZ..
mimi mwenyewe nilishashtuka

Unatafuta mchumba kisiasa baby? Ww mtoto kitchen party yako inabidi tukaifanyie ukonga gerezani na kungwi awe mke wa mkuu wa gereza. Mj1,adi, swtlady na nyamayao hawakuwezi
keshawapata kibao nina uhakika
 
ahaaa lizy acha kuwakatisha tamaa wenzio mimi nilishapata siku nyingi muulize ashadii ndo shaidi mimi nilitaka tu kuwasaidia mabest zangu wa jf
Yeeeeah RIGHT!!
Kazi ambayo hata muombaji hajulishwi ni kazi gani....we bana we.

Back to reality,....
1.Mimi sura ya kokoto...hivyo mvuto zero
2.Nimesoma mpaka form three(3),..na nina 54yrs...hapo nafikiri kidogo nina vi_marks
3.Kwa sababu ni mtz_kujiexpress ni kama kawa...hapa ujanja ndio ntakapo zoa marks kufidia za hapo juu nilipopata zero.

Hhheheheheh
1.Pole yako.
2.Unaweza fidia kwa pesa...maana sio kila mwenye nazo amesoma.
3.HONGERA!!

Sasa subiria kuona kama utaitwa kwenye interview.
 
yeeeeah right!!
Kazi ambayo hata muombaji hajulishwi ni kazi gani....we bana we.

Hhheheheheh
1.pole yako.
2.unaweza fidia kwa pesa...maana sio kila mwenye nazo amesoma.
3.hongera!!

Sasa subiria kuona kama utaitwa kwenye interview.
kama hamtaki aacheni bwana watu kibao wanatafuta kazi pia nitakuwa siwapi tena madeal hapa
 
Wifi usisahau cv huwa inasema marital status,lol
Nakungojea kule kwa zawadi,mbona wanweka roho juu jamani?

Hahahaha...hiyo nilisahau wifi....
Alafu na address kwahiyo anaweza jikuta ana''pass by'' kuona mshkaji anapo/anavyoishi..
Details zote zinatolewa kwa hiari wakati wangeulizwa kiuwazi wangechapia.

Wifi Zawadi atakuja tu usijali...sema sasa hivi nna mikazi kibao ya kuandika kwaajili ya shule kwahiyo mori wote unaishia huko.
 
hahahaha...hiyo nilisahau wifi....
Alafu na address kwahiyo anaweza jikuta ana''pass by'' kuona mshkaji anapo/anavyoishi..
Details zote zinatolewa kwa hiari wakati wangeulizwa kiuwazi wangechapia.

Wifi zawadi atakuja tu usijali...sema sasa hivi nna mikazi kibao ya kuandika kwaajili ya shule kwahiyo mori wote unaishia huko.
lizzy bwana sina mbavu hapa loh?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom