MMU special offer

mkuu nipo mkuu ...asee hii kazi mi siqualify kabisa...nawaaachie nyie bana.....mi profession yangu tofauti kabisa...hata odm hapa ni noo
kwani proffesion yako ni ipi naweza kukupa kaupendeleo atii?
 
Kiukweli wadau wote wa hapa kijiwe cha mmu nyie ni rafiki zangu na ninawapenda sana,nimeona si vibaya nikatoa upendeleo juu ya hili swala kwenu
kwa wale wanaotafuta kazi
kama una bachelor or adv diploma ya accounting au
business admn nitumie cv na passport size 3 kuna kazi ipo mkononi mwangu karibuni mwisho saa sita

Naomba e mail yako pse.
 
To be sincere nahisi Bebii nia na lengo lake apate picha halisi ya The Finest,bila shaka keshajaribu tactic zote za kupitia PM imeshindikana.leo utampata tu.
Lol......

daaah bishanga nipo sirias naona hamna shida tf mbona namjua sana tena niko nae hapa
:lol::lol::eyebrows:

kwa ajili yako naongeza masaa mawili
Unajua hizi PM huwa zinachanganyikiwa saa zingine unaweza kushtukia badala ya kuja kwako imeenda kwa PAW au imeenda kwenye ki-button cha REPORT ABUSE, masaa mawili tukutane Holiday Inn

utasema kila kitu leo,TF jana mbona nimemwona Dubai na Husninyo,karudi Dar sa ngapi?
Hayaaa.....Bishanga
 
lol......


:lol::lol::eyebrows:


Unajua hizi pm huwa zinachanganyikiwa saa zingine unaweza kushtukia badala ya kuja kwako imeenda kwa paw au imeenda kwenye ki-button cha report abuse, masaa mawili tukutane holiday inn


hayaaa.....bishanga
haya bwana
 
Bebii mjanja...
Anataka kuwachunguza wakaka wa JF bila taarifa.

Kwa picha atajua nani anaonekana vipi ...MVUTO MUHIMU.
Kwa CV atajua nani amesoma mpaka daraja lipi...KISOMO MUHIMU na UMRI.
Barua atajua uwezo wako wa kujieleza na experience....UJANJA MUHIMU.

Akishajua hayo anarudi kwenye ile list ya waliotupa ndoano kuangalia nano anakidhi vigezo na nani hakidhi vigezo.
LOLZ..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom