MMU’s JF Special

MMU’s JF Special

Hivi Asha, umenionea wapi Dena jamani.............?
hebu mwambie leo ni ijumaa, unaweza kuta amesahau huyo lol...


Dena alikua analinda uzi, si umeona quote yake pale....
Ngoja nimwite aje akuitikie hapa...lol
 
Huongei pumba... mimi nawe twakutana saana but katika threads si zangusikutaka kuchakachua threads bila ruhusa za wahusika...lolKatika uzi nilotoa hizo kuna post yako moja tu... na ningeweka hapa ungetafut kitufe cha DISLIKE hapa sasa hivi...lol
Teh! Teh! I Joke, mimi nitaandika topic za watu zilizobamba, ukweli nimependa hii cretivity yako, i realy appreciate it and i strongly agree that "this is special for us"
 
Teh! Teh! I Joke, mimi nitaandika topic za watu zilizobamba, ukweli nimependa hii cretivity yako, i realy appreciate it and i strongly agree that "this is special for us"


Zipo nzuri ila sema hujawahi changia saana kwangu mimi kuweza kupata quote
Kwanza nakumbuka juzi kati kuna uzi wako tulijadili saana ... sijui upi ila nakumbuka in the end
kama tulichakachua vile...lol


The Following User Says Thank You to Gagurito For This Useful Post:
Ashadii (Today)



 

MMU’s JF Special

Some JF member Quoutes I Love …(MMU)

Katika threads mbali mbali hapa MMU watu hutoa Michango mbali mbali ambayo hufurahisha, elimisha, kosha, imarisha na saa ingine hata kukwazisha… But all in all most ya michango hubeba ujumbe mkubwa saaana ambao ingawa wakati mwingine huchukulia kama mzaha but ujumbe behind the mzaha hua muhimu.

The following are some of the best quotes (kwa upande wangu) kutoka katika three of my threads… Take NOTE kua hazijapangwa kulingana na ubora wa hio quote.. hivyo ya mwisho yaweza kua bora kulika ya kwanza katika huu mpangilio..

Hata hivyo most kuna quotes zao nyiiingi zimenifurahisha ila niliona its beta I withdraw to most ambao nilibahatika kupata michango yao…


  • Iwe kupenda kwanza au baadae.. Biashara kwanza
– Kaizer

  • Kuna watu ukitofautiana kwa PM ni bifu kwa thread pia
– Michelle

  • Nimekutana na watu wa maana saana hapa, ambapo naweza kusema kweli wamekua rafiki wa karibu mno
– Bubu Ataka Kusema

  • Social Media imefanya mwananchi wa kawaida kua journalist
- EMT

  • To the world you may be one person, to a person you may be the world
– The Finest

  • Sometimes we suffer with the bitter state of coffee till the last sip only to find out sugar crystals lying at the botton
– Daughter

  • Only God anajua ramani ya maisha yetu kabisa, anajua tulipotoka tulipo na mwisho wetu
– Mestod

  • One thing I would like to know how do we know if one of us is dead
- Manumbu

  • Kucheza mdako ama rede kwa mzee haimaanishi kabakili jinsia
– CPU

  • i should probably change and tryanna get to know ‘em before saying ‘naaah he/she is too mature
- Lizzy

  • Go out and screw up… Don’t try and be perfect
– Gaga


  • Africans we love other peoples wife most..
-The Boss

  • Mapenzi Mchezo wa ajabu saana
- Arsene Wenger

  • Live to love… love to live
– Afrodenz

  • Mie nipo 26-32 kuna vijitu kavieleza vina ukweli na mimi
- Chauro

  • Do not be awed by materialistic possessions, even the Rich cry
- Rutashubanyuma

  • Mama na machungu anayo pitia uhakikisha ustawi wa mwanae
– SMU

  • Kila kitu kinawezekana katika hii dunia kikubwa kubaliana na ukweli
– Pearl

  • Kitu kinacho fanya kwa mama mkwe wangu ni kumtreat kama mamangu
– Fixed Point

  • I will always be my self
– Pauline

  • Happy mothers day to ma mom, all the girls(future moms) and all the moms in here
– Samora10

  • I Love you Mom
– Ndetichia

  • Mama nakupenda naona fahari kukupenda.
–Mnyamahodzo

  • I am proud to be your Mother
– Karen_Happuch

  • Natamani kusema mengii juu ya mama, ukweli usiopingika maneno hayatoshelezi
– JourneGwalu

  • I am an over possessive person, I will not set him free, what if he does not come back!!
– Nyumba kubwa

  • Love does not need a forulae it needs a personality to be strong
– The dirty paka

  • Jinsi anavyo ishi mwinyi haji na mkewe sio lazima afanane na minyi Pemba na mkewe
– Bacha

  • Nikimpata Mtu namuonesha mapenzi ya kweli ila sio kumzingira kama hashikiki
– Belinda Jacob

  • Nina allergy na icecream..
- Husninyo

  • Siku hizi sipendi kujipa pressure kama zamani
– First Lady

  • If you love someone lock her in, if she leaves hunt her down
– Uporoto1

  • Wanawake wa mjini shida tupu!!!! Hawaoleweki
– Mentor

  • Watu wanafanya biashara ya kuwowana badala ya kuoana
– Dark City

  • Mapenzi haya wacha yaitwe mapenzi tatizo hushibi
– Fidel80

  • Ukipata mwanamke above 39 yrs upo safe saana
– Positive Thinker

  • When it come to love advice every Dick, Tom and Jerry are love Gurus
- Son of Alaska

  • @25 taa nyekundu huanza kumulika kuashiria umechelewa
– Zion Daughter

  • Man!! I like women I just cant stop loving them
– Eliphaz the Termite

  • Naomba nikiri toka nimeingia MMU roho yangu imekua baridi
– Bishanga

  • Najutiaga kiac nilivyomsumbua mama, nilimsumbua vya kutosha jamani, alinicmamia kidete bila yeye cjui nyamayao angekuwa mtu wa namna gani, asante sana mama kwa kunipigania..
- Nyamayao

  • Kweli kuna mambo mazuri saana humu jamvini
– Ulimkafu

  • JF usipokua mjanja kazi lazima zilale
– Maty

  • Nawaza wangapi humu wanatumia jina zaidi ya moja
– Nyani Ngabu

  • Kauli za kikubwa vigumu kurespond
– Freema Agyeman

  • Duh! Kweli umekua addicted (@AshaDii)
- Konakali

  • Kuolewa mpaka usubiri limtu lije kukuposa mara linakutosa aaarrrgh
– Dinnah

  • USIHARIBU THREAD
– Dena Amsi

  • Binafsi nachukia saana Serkali inavyofanya na kutesa wananchi
– Mtumishi wetu

  • Nilijiunga (JF) kupata mke lakini bahati mbaya mpaka leo sijampata
– Steve Dii

  • Heshima na upendo vinachukua nafasi yake (JF)
– Caroline Danzi

  • Naiombea JF idumu
– Kbd

  • I like honest people
– Black Berry

  • Freedom of expression, Knowledge and Skills provided.. need I say mo’
– Okada

  • Sijui bila JF ningekua wapi
– Nyange

  • Kama mtu alopita karibu na mzinga wa nyuki akapiga mwayo asali ikadondokea bahati mbaya
– Gazeti

  • Hii JF Kiboko
– Kanigini

  • Worry not I am not biting –
Kimey

  • Simply hamna forum kama hii hapa TZ kwa magamba and magambaless
- Camaraderie

  • JF haina mpinzani
– Jojobingo/The Priest

  • I live life to the fullest at JF nikiwa mtaani haiwezekani mambo mengine ni kero kwa jamii
– Marytina

  • Leo hii nikimshauri mtu simsaidii tu kwa mtaji bali bali namshauri na aina za biashara anazoweza kufanya kulingana na kiasi kilichopo
– Cheusimangala


  • Hua napenda kutafakari signature za watu zenye upeo wa hali ya juu na fikra tofauti
– Excellent

  • I am so proud you are my siter..
– Eiyer

  • Mkuu.. kuna mindoto mibaya bora usiote
– Elia

  • Kwa kweli naelimika saana hapa JF kupitia mawazo ya watu wengi
- Sharohiphop

  • Baada ya kudadavua na kupembenua, si nikagundua utanibemendea wajukuu zangu? Kisa cha kuwa shugamami wakati babu mwenyewe nipo ni nini..
- Asprin
NOTE: Just in case kuna member anahisi hio quote sio yake please sema nikupe evidence….


AshaDii anawatakia good Friday and a wonderful relaxing Weekend.... enjoy..
:happy:

Pamoja saana
AshaDii



AshaDii - Never get angry. Never make a threat. Reason with people
 
PA leo umeniweza lol!! nakosa hata cha kuongea ila nakutafutia dawa yako soon nitaipata?? Kaizer shouldn't know or see this post either lol!!!
 
Zipo nzuri ila sema hujawahi changia saana kwangu mimi kuweza kupata quoteKwanza nakumbuka juzi kati kuna uzi wako tulijadili saana ... sijui upi ila nakumbuka in the endkama tulichakachua vile...lolThe Following User Says Thank You to Gagurito For This Useful Post:
Ashadii (Today)​
Teh! "Nataka kulala" mkuu hii thread imetulia, next tym uthinithahau bhanaa
 
Back
Top Bottom