mi Eiyer tu jamniHabari wana JF...
Ni wazi kua we have got lives beyond hapa JF.... Na ni wazi kua majukumu ni mengi katika jamii ambayo kwa kweli mara nyingi ndio first priorities katika maisha yetu kuliko hata hapa Jamvini... However inapotokea kua Members ambao ni wanafamilia wa hapa MMU wamepotea kitambo... Kuna baadhi ya members hasa sie wanafamilia wa MMU (Mfano mimi) hutokea kwamba Tumewa MISS.... Nyie watu (wanafamilia ya MMU) Popote kule mlipo msitegemee kukaa kwenu kimya basi na rohoni na akilini kwetu hampo!!! ACHENI kutesa mioyo yetu na agalau mtutembelee walau hata post moja tu kwa Week kuhakikisha kua kweli ni wazima wa Afya na kwamba Mwaendelea vizuri... Hivo basi naomba nitaje baadhi ya ambao nimewakumbuka kwa mda huu.... Wale ambao nimesahau kutaja naomba fellow members tukumbushane... Walau waelewe kua We REALLY MISS THEM..... (At lease I do...)
- Michelle
- Eiyer
- Gaga (I kno u ar fine but jamvini sijakuona mda)
- Stevie Dii
- Mestod
- Bacha
- CPU
- Lizzy
- Gagurito
- Manumbu
- Pearl
- Belinda Jacob
- Magulumalu
- Mentor
- First Lady
- Zion Daghter
- Maty (simuoni kabisa naona tu likes...lol)
- Dinnah
- Kbd
- Rev Masanilo
- Cheusi Mangala (thou she is back)
- Okada
- Elia
- Sharohiphop
- Aisha Adam
- Samora10
- Vikwazo
- The Dirty Paka
- Madabwada
- KonaKali
- Mayassa
- Kaka Mpendwa
- Fixed Point (thank God tumemuona)
Naamini ni wengi na wengine nimewasahau... Ama siwafahamu tokana na Ukweli kua MMU haijaanza juzi... I repeat Members wengine tutasaidiana kukumbushana (kwa wataopenda)
(This Post has been written with Lots of Love.....)
Pamoja Saana
AshaDii.
Mbu we umewamiss wadada tu!? Lol
Am missing them too, maty, Carmel, WoS!
Mkuu mwambie MJ1 to forget the bite, we'll sing for her...mnh, soulmate jamani...hahaha...!
wakaka wote wapo hapa,....esp BAK nimemuona leo...na hata maswahiba kina teamo, kaizer,
mtm, aspirin, the finest na klorokwini wapo sana tu...! mstaafu Dark City jana nilimuona...
labda RR tu ndio kidogo kaadimika sasa....
Mkuu mwambie MJ1 to forget the bite, we'll sing for her
Hhahaha!! Huyu njiwa sijui atafika bila kufungua hiyo bahasha njiani na kuisoma lol
♫....ewe njiwa ewe njiwa peleka salamu...♫
smiles ametoweka sana AD,nina wasiwasi na hizi multiple ID's zinatupotezea Id tulizozizoea
...mnh, soulmate jamani...hahaha...!
wakaka wote wapo hapa,....esp BAK nimemuona leo...na hata maswahiba kina teamo, kaizer,
mtm, aspirin, the finest na klorokwini wapo sana tu...! mstaafu Dark City jana nilimuona...
labda RR tu ndio kidogo kaadimika sasa....
Uuuhhh... Da Asha nipo jamani, Pole kwa kunimiss.. Majukumu yalinizidi.. ila nipo sijambo bukheir kwa afya njema..
Belinda J, Dinnah plus this lady called Nemo..........me miss them much!! Very very very very much!!!!!!
Napenda nemo anavombana mtu kwenye kona na hoja zake lolHawa woote Wamepotea kweli yaani... Huyu Nemo hugusa gusa tu thou briefly at least hutoa hope kua she is well.... Napenda angle za yule dada... Ila BelindaJacob... I really wish i could see her jamani...
Lizzy jamani please come back to us, tangu aanzishe jf yake kule yaani katumwaga sana huku ila namchunguliaga kulekule kwake
Aseee!!
kumbeee!!
Duh!!.......na uzee wangu ngoja niendelee kujifunza!