MMU la'familier vs Wanted wa MMU! (White Party)

MMU la'familier vs Wanted wa MMU! (White Party)

Hivi siku hiyo rules za 'anonymity' za JF zinaapply, au ni full kujiachia na kujitambulisha tu 'mie ndo mrembo Lara1, mie ndo The Boss etc'?

Hahahaaaaaa! Pale Anonimity ni za USO tuuu! Uso unaokuvutia ndo unauchukulia kasi!!!!!!!!! Mjini mipango!

BTW First Aid Inahitajikaaaa!!!!!!!!!!!!!
 
lara 1 na gfsonwin hebu nambieni kama naruhusiwa kuja na mama yoyoooo. Yeye sio member wala hajui JF ni nini (na wala sitaki ijue). Mkikubali nikuje nae, tadanganya yeye kuwa ni alumunii pati ya ile university nlosoma kule ng'ambo...


Mliosoma ng'ambo wengi hivyo khaaa!!!

We mwambie watu wanajiandaa KUNYAKULIWA...that's why they're in Whites
 
teh mwambie ni wabunge wa ghana

Changamkeni, wamebaki Mapartner 6 ambao hawana wenza, na PM zinazidi kumiminika.
Jiwahie nafasi ni chache bandugu..........!!!!!!!!!!!!!!
 
Changamkeni, wamebaki Mapartner 6 ambao hawana wenza, na PM zinazidi kumiminika.
Jiwahie nafasi ni chache bandugu..........!!!!!!!!!!!!!!
nani na nani nichague hapo
 
mi nawai id ya faiza foxy mtu mwingine asiitumie tafadhali
 
Mliosoma ng'ambo wengi hivyo khaaa!!!

We mwambie watu wanajiandaa KUNYAKULIWA...that's why they're in Whites

Tuko wengi...
Mi university yangu kutoka hom ilikuwa ng'ambo ya pili ya mto mokombero...
 
Leo nitafanya maombi ya saa 8 ili liboss langu linipe friday off, maana ATC wameshaanza so that l wont miss that party; utanipa company ya shopping on Sarto morning?
whaaaaaoo! mimi tena mpenzi? shaka ondoa lol! kama waja confirm mapema kwaajili ya logistcs nyingine lol!
 
nilivyo zamadamu, na all the ghosts in my closet?

Nawatakieni party njema!
 
mie hata sijui nije na Id gani, maana ninazo alfu kidogo.

Mwenyewe nishacomfirm kuja kwa ID nyingine, gfsonwin hajui tu LOL
Ila nikimuonea huruma nitajitambulisha as Kaunga. LOL
 
Last edited by a moderator:
Yes she is single and ready to mingle...huyo baby aliyemtaja hapo ni katoto kachanga kanakinyonya hawezi kukaacha nyumbani, chezeya White Party....

Mhh!?? ya kweli haya!??

we kazana kuthink, wenzio wanatawanya marinda kila moja kwake! achana kabisa na walaghai wasusuo huku wamesimama! ni viumbe wengineeeeee!

Hahaha..kwaiyo walishamdanganyaga?? khaaa smile..ndo huyo aliekubusu mpaka ukaenda kuchukua PF3??!

usijali utapata ili mwanao asipate shida...pia tutakodisha na mayaya kumnyonyesha baby wako!!
watu8 mi ntaomba kunyonya tu...ts bin looong:becky:
 
Last edited by a moderator:
hahahaahaha wewewe hizo simu zitalia kama mbiu hahaha du wanaume wengine sio mchezo wanakaba 1*1*8

Hahaha...huyo mumeo mbona ana wasiwasi hivyo...
Basi mwambie kuna fanksheni ya ofisini zile za mwisho wa mwaka...
 
haya jamani...!nitashiriki na mimi
 
Back
Top Bottom