asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,039
Unajua unapokuwa umemuheshimu mtu sana , huna hili wala lile unagundua anakuwazia very low of you...... Basi huna budi kuhitimisha huyo mtu atakuwa ana matatizo sana kichwani mwake.hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! Truth has no temperature really!
Kwa taharifa yako sikuanza leo kumpa za uso Lara 1...
Na hatujawai kuwa maadui...
Do your homework...'young lady'
Ujana uliucheza vibaya na ndo ushakupita, kama nakuona unavyotamani kuwa kama sisi 20s hahahahahaaaa...
Grandmaaaaaa kaa fikiria future ya wanao wataishije watasomaje ila pole kwakulea mwenyewee, ulizani kuzaa nao wangekupa hata cheo cha Nyumba ndogo heheheeeee wakakumimina kama maji uwiiiiiii.
Grandmaaa sie kuzeeka tutazeeka ila hatukufikii wewe, bado utaendelea kuwa ajuzaa wakati wenzio ndo umama unashika moto.
Nimekuja mpaka huku nakwambai looooh!
HAHHAAAAAAAAAAAAAAAAAAA! MBONA HAMNA JIPYAAAAAAAAAAA HAPA! Humu ndani TALK OF EVIL, TALK OF BEING NASTY THATS ME BABY!!!!!!!!!!!! NA SIJAWAHI KATAAAA ANY EVIL ALLEGATIONS LEVLLED AGAINST ME!
Ungekuja na uzi NAJIFANYA NIMEOKOKAAAAA HAPO KIDOGOOO! BUT BEING EVIL IS MY MIDDLE NAME! HAHAHAAAAAAAAAAAAAA!
Umesahau nyuzi nazo hubiri watu WACHUNEEEEEEE WASIPIGWE FREEEP, EXACTLY WHAT IM TALKING ABOUT NOW!:A S wink::A S wink:
Unajua unapokuwa umemuheshimu mtu sana , huna hili wala lile unagundua anakuwazia very low of you...... Basi huna budi kuhitimisha huyo mtu atakuwa ana matatizo sana kichwani mwake.
Ni hayo tu.
Hahahaaaaaaaaa! ZA USO JADI YETU MKUU! Sisi WATANI WA JADI KAMA Simba na Yanga!
nonononon.... you just showed a sign of being the good you..but you back off...
Hahaahahahaaaah
Mfamaji haishi kutapatapa
Hamjawai kuwa maadui unazani atakupunguzia hiki kipigo lara 1
Hapana , hiyo ni tofauti na yangu.... Kwangu mimi it was kind of personal na dharau hivi..... Uzuri ni kuwa humu hata hamna anayemuweka mwenzake mjini, hamna haja ya kushobokeana aseeeeeh!!!!Sio yako analike hadi za lara 1 sasa hivi dozi imemkolea
Hizi ni lugha za wa 60s...
Shikamoo!:llama::llama::llama:
Chukua like...afu usisahau zile dawa alizokupa daktari za depression ...:llama::llama::llama::llama:
[h=3]"Beijing declaration".your homework for today.....[/h]
Hahahahaaaahahaa nyumba kubwa me mwenzio laana sitaki 39+11=50 50-23=27 umeniacha mbali sana naingia mara2 kwenye kiatu chako na jinafasi linabaki.
Me sio size yako hata kidogo mwenyewe unaona aibu mana watuwazima wenzio wamekuzuia ukadai mori imepanda wakakuacha mwishowe nimekuvua hadi chupi hadi wapambe wako wamekimbia kwa aibu.
MWISHO sitaki niendelee mana kama kukuvua nguo nimekuvua hadi pichu, Ushauri wako siutaki usave kwajili ya wanao, Mume wa mtu ndo ninaye wala simuachi Leo wa kesho.
Bye bye...
Nilikuwa nakusubir u log off...
Maana NK sina historia ya kuwa failure in life...
Hivo najua nimeondoka na kombe na crown juu:A S crown-1::A S crown-1::A S crown-1::A S crown-1::A S crown-1::A S crown-1::A S crown-1:
Tusubiri mechi ya marudiano (kama hamtaingia mitini)
Te te te te...si tumeshaagana...
tena kwa wema maana na kesho nayo ni siku...te te te