MMU hot talk

ile ilikuwa QUOTE manake inamjibu MTU SPECIFIC! Afu ligi uliinza vizuri saivi umeshuka kiwango! Ngoja nimuanze Eiyer maana sio mwepesi yule, nilikuwa namlia mark time!

Unapenda fujo mama...
 
Last edited by a moderator:

Hapo kwenye bold naona una justify maovu...
Hayo ndio maisha ya 20s?
We have been there too...
Sikubali kuwa 20s wote ni vimada...
Watake radhi

Kujirusha tumejirusha sana..
Lakini si na waume za watu...
Na hili sasa mnataka kulifanya kuwa ni halali...
Wanafunzi wa chuo kushindania wanaume za watu...

Nakubali tulisoma na waliodata...
Lakini hawakuwa wengi na walikuwa wanaonekana ni kituko...
These days mnataka kufanya kuwa ni utaratibu wa maisha...

Noooo...lazima tukemee
 
ile ilikuwa QUOTE manake inamjibu MTU SPECIFIC! Afu ligi uliinza vizuri saivi umeshuka kiwango! Ngoja nimuanze Eiyer maana sio mwepesi yule, nilikuwa namlia mark time!

Yaani wee ulishashuka kiwango kitambo kwa kupenda personal attacks bila objectivity...ukiguswa emotions kidogo unakimbilia matusi...halafu caps za kwenda wapi?u kno what it means using caps all over?
 
Last edited by a moderator:

....have mercy on that ''thing''.it will deteriorate........
 
Yaani wee ulishashuka kiwango kitambo kwa kupenda personal attacks bila objectivity...ukiguswa emotions kidogo unakimbilia matusi...halafu caps za kwenda wapi?u kno what it means using caps all over?

CAPS IS MY TRADE MARK TOKA NAANZA JF! Hio ni BRAND yangu! Fatilia mwanzo mwisho PERSONAL ATTACK WATU WANAANZISHA UKIWAPA KUBWA WANAANZA KUJI VICTIMISE, WE FATILIA KOTE NANI ALIANZISHA PERSONAL BIOGRAPHY!?

mimi formation yangu napambana unavokuja ndo najua cha kukupa! Enough of small talk! Time for me to FOCUS!
 
....have mercy on that ''thing''.it will deteriorate........

hAHAHAAAAAAAAAAAAAA! good to see again FIELD MARSHAL!

Naona umerudi ki personal attack anazopigia kelele Amu! Hahahaaaaaa!

BTW SI KILA MTU ANA YAKE JAMANI? SASA IWEJE YA MWENZIO IKUUME?
 
i`ll be back...no retreat here...we spit the whole truth....its a war indeed......against all the menaces to society...
 
Sasa unapambana kwenye internet?It is a fu.c.ken internet...unapambana na fake people with fake IDs?So what?Don get high with your own supply....
 
Hahaha am waiting......

Mi nangoja vita IGEUKE ISIS nishaanda LINK za baadhi ya MAKUHANI WAKUU QUOTE ZAO ZA NYUMA WAKIUNGA MKONO MICHEPUKO! live bila chengaaaa! Lakini leo WASHASAHU KABISAAAA! nIMEKUSANYA VI LINK HATARI! LIKE I SAID I SAVE THE BEST WEAPONS OF MASS DESTRUCTION FOR LAST! :hungry::hungry::hungry::hungry::hungry::hungry:
 
Halafu caps ni kupayuka,it is a lame trademark...although it is a trademark of your choice!!!!easy
 
Sasa unapambana kwenye internet?It is a fu.c.ken internet...unapambana na fake people with fake IDs?So what?Don get high with your own supply....

arent you forgetting somethin??????????? MY ID IS FAKE TOOOOOOO! ITS A FAKE WAR! BUT WAR IS WAR! And i am not planning on losing this one too! I WOULD LOVE TO KEEP UP THE CHATTIN BUT I HAVE PRESSING MATTERS TO ATTEND! Cio!
 
Hahahahaaaaaaaaa..... Haya maisha tu kila Mtu ana siri na ukweli wake moyoni, ya kwako hayawezi kufanana na yule kila mtu anasitaili yake yakuyaendesha.

Usitake kulazimisha kumbadili mtu mtazamo kisa tu wewe unaamini kitu Fulani.
Kubadilika ama kuacha ni maamuzi ya muhusika mwenyewe kuridhia kwamba sasa sitaki kufanya au kitu Fulani sikitaki.

Usitumie nguvu nyingi kutaka kusikika ila naimani kuna watu comment zako zimewasaidia ingawa sina hakika ulivyoviandika hapa na kiuhalisia uko hivyo au nyuma ya keyboard tu.
 
i`ll be back...no retreat here...we spit the whole truth....its a war indeed......against all the menaces to society...

Hahahaaaaaaaaaa! BE MY GUEST FIELD MARSHAL! BE MY GUEST! Fair well Comrade!
 
hAHAHAAAAAAAAAAAAAA! good to see again FIELD MARSHAL!

Naona umerudi ki personal attack anazopigia kelele Amu! Hahahaaaaaa!

BTW SI KILA MTU ANA YAKE JAMANI? SASA IWEJE YA MWENZIO IKUUME?

it was just a by the way....ok the foot soldier... but you know the whole truth....this is the highest degree of selfishness.....moneysake ,...moneysake....and who is targeted...the poor married man....so shameless
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…