MMU hot talk

Hahahahaaaaahaaaahaaaa, you don't know me LebronWade unapotaka kuongelea kitu kuhusu mtu fulani make sure wamjua vizuri au unajua story yake. Sitokujibu tena endelea kuweweseka.

Usikimbie dada Angelita...tunajadili hoja kwa hoja na nachukua unachoandika humu....as far as of now,mwenye mume ambae ni mwanamke kama wewe,ana dam na nyama kama yako na ana pus.sy kama yako kakupa msaada mushee mume kwa hiari yake na wewe utoke....so unaishi kwa huruma ya mwanamke mwenzako so to speak...basi huna u-tough wowote unaojisifia humu kua unao...bisha hii kwa hoja,i double dare u!
 
Last edited by a moderator:
Bibi tulizana kaa huko uwaze maisha yako baada ya kusitaafu yatakuwaje, umejiandaaje.

HAHAHAHAHAHAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA! Ujana aji ya moto jamani, uzee mwisho Msata! Mpumzishe mwenzio! TURUDI KWENYE TOPIC JAMANI!

Uzee UKIUKUBALI KAMA MIE WALA HAUKUPI PRESSURE 45YRS AND STILL PROUD OF IT! Hahaaaaaaa! (Nitakuwa nimerogwa si bure! Chizi nimerogwa tenaaa! hahaaaaaa!)

TURUDI KWENYE MADA WAKUUUU! CARDINAL PRINCIPLE YA HOT TALK HATE THE GAME NOT THE PLAYER!
 
Mkuu h apa kun a quote hii maana yake unaquote kile ambacho unakiuliza au kukubaliana nacho ili ambae atafuatilia atasoma quote halafu atasoma maelezo ya chini ili aweze kupata maana

Hii ya kufuata mtiririko inatoka wapi mkuu?

Ok mkuu muuliza swali ni mimi na mimi ndiyo nimeona halijajibiwa ipasavyo zaidi nimeona maelezo tu.
Nadhani tukubaliane kutokubaliana kwa hili ndugu.
 

Sibishani ili mradi kubishana kama upo kwaajili ya hilo pole ndomana kuna watu nawapuuza humu. Vingi mnavyoleta vishapita nishavijibu sana kwaiyo nawaacha wengine waendelee.
 
Hapo ndiyo na Mimi ninapowaona RAIA humu wanakuwa wanafiki.
Hakuna mtu hajawahi kula maisha, kama umestaafu toa ushauri na siyo kuhukumu na kushikia bango.

UMEONAAAAAAAAAAAAAAAAA! GRANNY AND COMPANY kisa wao wako WASHASTAAFU, OLD AND BORED kwa kuhofia competition wanataka wam CAGE mtoto wa watu akiwa bado mbichi kabisaaaaaaaa! Madai wanamshauri! Puuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!

Akija baadae kuzibuka wa kwanza kudai ALIRUKA STAGE HUYU SI BUREEE! MTOTO AKILILIA WEMBE MPE UKIMKATA SIKU INGINE ATAJUA UCHUNGU WAKE!

WAMUACHE MTOTO WA WATU AISHI KAMA NORMAL 21 YRS OLD!
 
Sijaona sababu ya kumtaja Asprin na Matola hapo...ndio mashaidi wako wa miaka 30 au wakemia wakuu?...kwani wao uliwaambia ukweli kuwa uko 40 au nao uliwadanganya uko 30?

Tena unavyomuita Matola unajishitaki mwenyewe...te te te akawii kuteleza kimya kimya...unacheza na 40 weye...:sad::wink1:


 
ha ha ha...nafurai sana napokutana na watu wanaojifanya wana vifua kumbe wako very fragile...poyeee mtoto mzuri eehhh

Nani mchokozi...NK...tema nimchape...

Grandmaaaaaa(bibi) mbona unaenda kwenye personalization rudi kwenye mada.
 

Sasa wewe Lara 1 unashikia bango hoja ya umri kwa maana 30yrz yako ni young mpaka uanze brag?Watu kwa kung'ang'ania utoto...acheni kua kwenye age denial

Msikimbie hoja iliyopo mezani
 
Wanaume mna kazi miaka hii...
Msikubali ndoa mpaka muwapitishe hawa mabinti kwa mkemia mkuu awapime vinasaba...

Maana mtu anakwambia yuko 25 since 2005...miaka imeganda tu...

Na silaa yao kubwa kutaja umri...maana sura zimeshawashuka kusema vikongwe...

Sasa umegeuza umri ndio hoja ya kujifichia?Kwa maana wewe unakua kwa kushuka chini au?
 
Grandmaaaaaa(bibi) mbona unaenda kwenye personalization rudi kwenye mada.

Mama wa kusubiri misaada ya waume wa kushea....usinikimbie bwana...heri yeye bibi na ana nyumba yake aliyojenga kwa mikono yake mwenyewe kuliko wewe miaka 23 halafu kimada...u will never earn respect from ur peers for being a sidekick
 

Na hiyo mi vodka wanayokunywa sura zimekuwa ngumu kama nini. Kuna mti hapa sio mda mrefu alisema she's 25, baadae yuko 27 ni ndani ya mwaka mmoja...!
Ndio hawa kina miss Tanzania. Sura kavu miaka 18.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…