MMU hot talk


Hapo hujajibu swali langu mkuu japo mchango wako upo sahihi na umekaa vizuri....

Kati ya hawara na mume ni jukumu la nani kumlinda mke wa mume?
 


Hahahahaaaaaaaaaa! WATU KIBAO HUMU WAMEZAA NA WAUME ZA WATU, WENGINE WANACHEPUKA, WENGINE WANAPIGWA FREE P NAWAANGALIA TU HAPA WANAPOJIKOSHA HEKALUNI! MIFILE YAO NSA HAIFAIIIIII! Ila kwa kujikosha hatari!

Wanamuonea tu mtoto wa watu! KITU KITACHOMFANYA MTU YOYOTE HUMU AWE GRANNY CC angelita, au MDOGO KAMA miss neddy achumishwe mboga au kifo cha mende NI NJAA ZAKE TU wala sio sumu zangu! NIMO HUMU LEO MPAKA BASI!

I guess hii ni declaration weweni TEAM REPUBLICAN! Hahahaaaaa! Au bi ubuyu kote upo kama HOE?
 
Last edited by a moderator:

Mkuu kwa heshima yako ndomana sikutaka kukujibu na wala sitakujibu labda wengine wanisaidie kukujibu.
 
Hapo hujajibu swali langu mkuu japo mchango wako upo sahihi na umekaa vizuri....

Kati ya hawara na mume ni jukumu la nani kumlinda mke wa mume?

Nimejibu mkuu labda tu hujaona mahali ambapo kuna jibu

Kila mmoja ana jukumu la kujilinda mkuu!!
 

 
Soma nia na dhumuni la thread uelewe ndo utumwagie povu.

Yanini matusi mama?.....najua dhumuni la sred,ila it turned out mjadala umekua ni wewe kubrag kua proud "kimada"...yaani kitaalamu ni kwamba kwenye maisha umeishindwa kusimama wewe kama strong woman,ukasubiria mwanamke mwenzako kama wewe akugee mume wake mushee...yaani wewe ni mama misaada...prove me wrong,i dare u!!
 
Asakuta wote wanamakosa...huyo baba anatakiwa awe makini zaidi ila huyo dada anatakiwa aplay part yake kuleta difference....usilete blame game hapa kama excuse.
Huwezi kusema hawara ana jukumu la kumlinda mke aliyeshindwa kulindwa na mumewe ambaye anakiapo halali mbele ya Mungu kwa mkewe.
After all fomula ya maisha haipo straight namna hiyo , na humu kuna watu wanapinga hili humu jukwaani lakini kwa namna moja au nyingine wameshawatumia wake/ waume za watu kwenye maisha yao ,,, but guess who has the gut to say that hapa jukwaani? Angelita!!!!!
Wengine humu wanadhambi walizozitenda mpaka shetani anawaogopa lakini hapa kimbelembele kuhukumu.
 
Madam 30 te te te...naona umekuja kuokoa jaazi...(ingawa you and I know that you are 40 lol)

Inaweza kukusaidia kupata mume kupunguza hiyo miaka 10...

Maana kama 'vigoli' kama Ange wamekosa singles wewe wa 40 utapata wapi...?

SO NOW YOU ARE QUOTING ME GRANNY! Hahahaaaaaaaaaaaa! Itakuwa kimekukolea ndimu kweli kweli!

HAHAHAAAAAA! NOT JUST YOU AND I, MATTER OF FACT HATA Asprin , Matola, and other party people wanajua IM 45!:A S wink: Hahaaaaaaa! Okay there you got me GRANNY (According to THE ANGEL!)

And YES! SIWEZI KUPATA NDO MAANA NACHUKUA WAUME ZA WATU! REMEMBER! Sasa sijui wewe IMEKUHUSU VIPI OR MAYBE KIBOMU CHA GRANNY KIMEGONGA IKULU! BWAHAHAHAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA!

And IT WAS SO MUCH FUN WHEN YOU WERE SPEAKING IN RIDDLES AND PARABLES! Orevwaaaa GRANNY!!!!!!! 7 years if im still alive ill definately be here CHECKINGGGGGGGGGGGGGGGGGGG!
 
Last edited by a moderator:
Nimejibu mkuu labda tu hujaona mahali ambapo kuna jibu

Kila mmoja ana jukumu la kujilinda mkuu!!

Soma mtiririko wa mjadala baina yangu na niliyemuuliza hilo swali halafu uniambie kama umejibu na kufikia maudhui ya swali langu....
Aksante.
 

Hahahahaaaaahaaaahaaaa, you don't know me LebronWade unapotaka kuongelea kitu kuhusu mtu fulani make sure wamjua vizuri au unajua story yake. Sitokujibu tena endelea kuweweseka.
 
Last edited by a moderator:
Kama ni 45 then more likely huko 50 maana unapenda sana utoto...lazima umedanganya hapa...

 
Mkuu LebronWade...hii mbona kawaida kabisa...

Vitani risasi sikikuishia unaruhusiwa kutumia hata mawe japo unajua hayata saidia...

Bibi tulizana kaa huko uwaze maisha yako baada ya kusitaafu yatakuwaje, umejiandaaje.
 
Soma mtiririko wa mjadala baina yangu na niliyemuuliza hilo swali halafu uniambie kama umejibu na kufikia maudhui ya swali langu....
Aksante.

Mkuu h apa kun a quote hii maana yake unaquote kile ambacho unakiuliza au kukubaliana nacho ili ambae atafuatilia atasoma quote halafu atasoma maelezo ya chini ili aweze kupata maana

Hii ya kufuata mtiririko inatoka wapi mkuu?
 
Hahahahaaaaaaaaaa! WATU KIBAO HUMU WAMEZAA NA WAUME ZA WATU, WENGINE WANACHEPUKA, WENGINE WANAPIGWA FREE P

Hapo ndiyo na Mimi ninapowaona RAIA humu wanakuwa wanafiki.
Hakuna mtu hajawahi kula maisha, kama umestaafu toa ushauri na siyo kuhukumu na kushikia bango.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…