MMU hot talk

Mkuu ukiona nguo sio size yako unaiacha, Mimi kitu kama sikipendi na kinanikera napita kando sio kila thread lazima uweke comment yako, ila tunashuku kwa mchango wako.

HAHAHAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA! Nyumba ndogo una roho ngumu hatari, unamtoa mwenzio mdimaaaaaaaaaa! Hahahaaaaaaaaaaa! Ukifikisha 40yrs sijui utakuwaje hapo ndo umezianza 20s! Sijui miss Neddy kakuibua wapi lakini YOU WERE MORE THAN PERFECT FOR THIS HOT TALK!
 
Dear kama hujui JF comment aisomwi na mleta thread na anayeojiwa peke yake...

Ndio maana mods hawajazuia possibility ya watu ku comment

Kwa hiyo comments zangu zote hapa ndio mwake...

You can say that again...utapoteza muda tu na ushuzi huu...so unakaa kimya tu na kuwa mtazamaji

Hahahaaaaaaaaaaaaa! HIVI miss neddy KUNA WATU ULIWATUMIA KADI ZA UGENI RASMI KWENYE HII MADA? Manake walikuwa kwenye foleni za DOCTOR!
 
Last edited by a moderator:
halafu mnateteana....is a threesome your fantasy???...ok atleast not with a married man.......
Tyta mbona umekaa kimajungumajungu sana? Hivi huoni kama lara 1 humu yuko huru kujiachia? Fuatilia vizuri post zangu kuna point tunatofautiana mtazamo na tunakubali kutokukubaliana.
 
Last edited by a moderator:
Afu naona umepanic baada ya kukwambia inawezekana nyumba kubwa naye ni full mchepuko au? Ulitaka yeye atulie wakati nyie mnakula raha...jiulize tu mko wangapi...
 
Hahahaaaaaaaaaaaaa! HIVI miss neddy KUNA WATU ULIWATUMIA KADI ZA UGENI RASMI KWENYE HII MADA? Manake walikuwa kwenye foleni za DOCTOR!

Hahahahahaha..lolest...najivika mwenyew ugeni rasmi kuna shidaa
 
Last edited by a moderator:
Dear kama hujui JF comment aisomwi na mleta thread na anayeojiwa peke yake...

Ndio maana mods hawajazuia possibility ya watu ku comment

Kwa hiyo comments zangu zote hapa ndio mwake...

Tunalitambua hilo ndomana tukaileta hapa watu kama wewe mtokwe mapovu.

Nyie endeleni kuongea na kubishana hapa, mwenzenu bwana ninaye pembeni namkuna kidevu, hapa tunasubiri watoto wamalize kusuka tuwapeleke kula ice cream chezea mama mdogo wewe.
 
Best yangu mbona unachuki sana na married women?Wamekufanya nini?Yaani unachuki mpaka inablind ur arguments...Be happy bwana,jenga chako mungu atakusaidia.
 
Afu naona umepanic baada ya kukwambia inawezekana nyumba kubwa naye ni full mchepuko au? Ulitaka yeye atulie wakati nyie mnakula raha...jiulize tu mko wangapi...

Hahahaaaàaa..... Do I look like I care??????

Maneno yakufikirika hayo anza kujiuliza wewe kwamwenzio ni wewe peke ako????? Siku ukijua utafariki alafu usitujie na ID nyingine kuomba ushauri mana ndo tabia yenu uje nayo hiii hapa.
 
Hainikeri na wala sina sababu ya kuweweseka sababu huyo si mume wangu na hawezi kuwa mume wangu....siwezi kuwa na mume irresponsible kama huyo...

Na comment humu kwa kuwa kuna wanaotamani maisha yako...na wanasoma huu uzi kimya kimya...nataka kuwaonyesha kuwa huu si ujanja...

Najua wewe sina uwezo wa kukubadili...sababu kwa majibu ya comments zako inaonyesha umeshafanya maamuzi na uwezi geuka nyuma...

Mkuu ukiona nguo sio size yako unaiacha, Mimi kitu kama sikipendi na kinanikera napita kando sio kila thread lazima uweke comment yako, ila tunashuku kwa mchango wako.
 
Hahahahahaha..lolest...najivika mwenyew ugeni rasmi kuna shidaa

shida ipo kubwaaaaa! angelita ndo mgeni rasmi, and THE GIRL OF THE MATCH, so YOU CAN HAVE THE SEAT AT THE VERY BACK CONNER:spit::spit::spit::spit::spit:

SITI ZA MBELE ZINA WENYEWE DEMOCRATS angelita, lara 1, Manka M, ASKutasame, NA WENGINEO MAKAMANDA. REPUBLICAN kuna nyumba kubwa, Tyta mikono itakuwa imemvimba toka janaaa Hahahaaaa, Matola, Diva Beyonce, ETC. kATIKATI KUNA kina bi ubuyu HUKU WAMO, KULE WAMO, hapo unamkuta Tumboo, HOE, ETC.

so ONLY THE CONNER SEAT AT THE VERY BACK IS LEFT! HAVE FUN!:A S wink::A S wink::A S wink:
 
Last edited by a moderator:
Afu naona umepanic baada ya kukwambia inawezekana nyumba kubwa naye ni full mchepuko au? Ulitaka yeye atulie wakati nyie mnakula raha...jiulize tu mko wangapi...

Naona hapa mtabishana tu mpaka asubuhi lakini ukweli ni kwamba Mwanamke anayechezea usichana wake na waume za watu aje kusubili aolewe na waliofiwa na wake zao au wasiolewe kabisa.

Binti huna kasoro yoyote upo kwenye umri wa kupata mwenza then unamgeuza mume wa mtu ndio kama mumeo, hapa bila kumung'unya maneno ni matatizo ya kukosa maadili kuanzia familia uliyozaliwa au kukataa ukiwa bado mdogo au kuendekeza tamaa za vipoketi money.

Hata mimi kuna wake za watu wananilia timing lakini sina time nao kwa sababu najitambuwa na najuwa madhara yake.
 
Unaniongelea Mimi?
Kwa maana pale umequote reply ya mtu aliyonijibu mimi , ni vizuri ukawa muwazi.... Kwani mtu akikuona wa nini wewe inabidi umuone wa kazi gani.....
Nasubiria majibu.
 
Tunalitambua hilo ndomana tukaileta hapa watu kama wewe mtokwe mapovu.

Nyie endeleni kuongea na kubishana hapa, mwenzenu bwana ninaye pembeni namkuna kidevu, hapa tunasubiri watoto wamalize kusuka tuwapeleke kula ice cream chezea mama mdogo wewe.

Angelita ni dada mzuri tu sema umechagua kua plan B ya huyo jamaa,kwahiyo u will always be number 2 kwenye hiyo love triangle...infact upo sahihi,umechagua unachokitaka,basi suck it up small soldier!
 
Unaniongelea Mimi?
Kwa maana pale umequote reply ya mtu aliyonijibu mimi , ni vizuri ukawa muwazi.... Kwani mtu akikuona wa nini wewe inabidi umuone wa kazi gani.....
Nasubiria majibu.

Humu wanazuia kutumia abusive language tu...
Hivyo ngoja nikujibu...
Ni kweli huwa sipendi kuzijibu comments zako...sababu naona wazi una try so hard kupinga kila niandikacho...

Mtu anayechukulia comments zangu too personal huwa nakaa nae mbali...

Maana mi si wale wanaotumia lugha chafu mitandaoni...na hapa na past time tu siko kibaruani kwa nini nijipe pressure...
 
Hahaha..av always been a backbencher since kg so am honoured to be placed in the back....vilaza na andunjes ndo walikuwa wanakaa mbele....mie mtoto nimepanda hewani mbele kwa nini si ntawaziba nyie vidumpa hahahahah...niko zangu nyuma toka ijumaaa na sidaiwi na mtu labda ka una lingine???🙄🙄
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…