Mwache afuraie humu...kale kabinti kake kaje kamletee lizee ndio atajua tunaongelea nini humu...
Huwezi kusema kuzini ni kuzini tu...anayevunja ndoa za watu na anayetembea na kijana mwenzie wote ni sawa...
Achana na mambo ya dini...hawa ndio wanatuchafulia jamii...jamii inajengwa na familia si ufuska...period...
Ila kuna watu sipendi hata kuwajibu maana nikishajua tunatofautiana in all aspects why waste my time and energy...
Dada Heaven on Earth,haya makosa tunayofanya tunawafanyia binadam wenzetu,na mungu anasema umwombe kwanza msamaha binadam uliemkosea ndio uende kwake...icho ulichosema ni uongo.

Mkuu ukiona nguo sio size yako unaiacha, Mimi kitu kama sikipendi na kinanikera napita kando sio kila thread lazima uweke comment yako, ila tunashuku kwa mchango wako.
Hot talk , if you understand what am talking about... Ha ha ha
Sizitaki mbichi hizi...
Sijui ni coincidental kuwa wanaume wote wenye michepuko wanafanana tabia...
Nimeshasikia kwa vimada wengi sana story kama za Ange...'huyu mwanaume alikuwa mcharuko mimi nimemtuliza'
'mimi ndio namsisitiza asisahau familia'...'namzuia asilale kwangu'...'huwa naifanyia shopping familia yake' and the like...
Next time muwaite na hawa mababa wenye mipango ya kando watupe nao the other side of the story ili tuweze ku balance...
Kwahiyo unataka akamfate mke wa huyo mwanaume aanze kuomba msamaha, humtakii mema wewe..
Kwahiyo unataka akamfate mke wa huyo mwanaume aanze kuomba msamaha, humtakii mema wewe..
Nitakuwa mjinga kiasi gani kutokufikiria future yangu, kwani Mimi siitaji kuwa na familia yangu, Matola hadithi yangu tofauti na zingine, nimekuwa na huyu mtu kwa miaka 3 sasa, baada ya miaka 2 ya mahusiano ndo nilijua kama ana mke tena baada ya mke wake kunitafuta ingawa yeye miaka yote alitambua uwepo wangu, na miaka yote 2 najulikana na wazazi na ndugu zake.
Hahahahaaaaah, sikuyatamka Mimi mke wake, unaonaje ukijitolea kukutana na wahusika live uje uwahadithie wenzako????? PM kwahatua zaidi.
Hahahahaaaaah, sikuyatamka Mimi mke wake, unaonaje ukijitolea kukutana na wahusika live uje uwahadithie wenzako????? PM kwahatua zaidi.
Sijai dis thread yote...ila kuna watu nawajua tokea, na sipendi kuwajibu..you are not one of them kwanza nimekujua thru hii thread tu...
Na tunapo comment haina maana tunakujibu wewe ...
Huu ni mjadala...una represent wengi tu nyuma ya key board na comment yangu inaweza ikawa na maana kwao...
Wenye uelewa waliuliza swali kwani ilikuwa kwann ulifanya nadhani walipata maelezo.
Sasa wadandia treni kama wewe wamedaka tu mume wa mtu nakuanza kutoka povu.
Mimi na mke wake tunajuana na tuliongea, kwanza ananishukuru kwa kumrudisha mumewe kwenye msitari, mana alikuwa hakamatiki na anaomba kila siku nikubali mumewe anioe mke wa 2 dini yao inaruhusu. Sitokujibu zaidi pitia mtiririko wote ndo uje utokwe povu sio unadandia bila kujua hadithi ipoje.
Hii ni excuse dhaifu sana, haiwezekani mtu mwenye akili timamu uwe kwenye mahusiano na mwanaume kwa mwaka mzima na hajaoa halafu asikupeleke nyumbani anakoishi.
I don't buy this cheap story.