Nakuelewa ila kusema huo "ukweli" huku una brag na huoneshi remorse sio sawa bwana...sema ukweli na pia sema u are not proud of what u did,hata mdogo wako akipita humu ajifunze....na kuitwa malay.a ni sawa tu,kwenda kubreak nyumba za watu ni kosa,una weaken marriage ya binadam kama wewe...kwanini usijenge vyako if u are really strong as u and lara1 brag to be?
Please reduce cognitive burdens!
Kwani mkuu wewe ukishamla demu mzuri aliyekuwa unamfukuzia muda mrefu huwa hujisifii na kujikubali moyoni?
Majuto na masikitiko yetu ni kwa Mungu tu na siyo wanadamu.
Je ni vipi nafasi ya mume?
Mbona mume haonekani km ndiyo tatizo?
Je ni huyu angelita ndo jukumu lake kulinda hiyo familia na watoto au ni jukumu la mume?
Unajua maana ya kusema ukweli na kujisifia????? Tatizo la wengi mtu akisema ukweli anajisifia, unajua maana ya hot talk???? Huwezi kusema fulani ni Malaya kisa ana wanawake 2 wewe huyo mmoja umemuoa???? Wote si mnazini???? Next time atajifunza kutumia lugha nzuri sio unatoka tu huko nakumuita mtu Malaya wakati humjui.
Hapo nilikuwa naongelea dhambi na Mungu mkuu , usichanganye vitu hapo.......Asakuta impact ya kuvamia nyumba ya mtu unaathiri wengi,mke,watoto,and other dependants,ambao hawauhisiki kabisa,unaharibu taasisi...huwezi fananisha na single person uliezinzi nae...effect kwa familia ni more lethal...ndio maana ikawa forbidden...angalia intensity ya effect sio just mere dhambi ni dhambi tu
Its a FREE COUNYRY SINCE 12th DEC1961. And last time I checked it was not illegal
Asakuta wote wana makosa,ila kila mmoja ana utashi wake among the two...sasa basi,as per topic here tunamzungumzia huyo dada,yeye kafanya nini kuacha hiyo kitu isitokee?maana in part na yeye ana decision making hapo.....
Na kufanya dhambi halafu unaanza kujisifia haitakiwi...kibaya zaidi wengine tunajisifia publicly
Hahaaaaaa! How does it affect the price of sugar in shops? How does it concern you?
So what gonna you do about it? Unafiki tu! Watu humu mnatoka povu kukemea kwenye jamii kimyaaa! Wengi wenu baba zenu wamezaa nje, waume zenu wamezaa nje, kaka zenu wanazaa nje, wanenu wanazalisha watoto Wa watu bila kinga! AND NOBODY SAYS SHIT ABT IT! Tunaufyataa kimyaaaa! Kukumbatia uovu. Mwenyewe kaka yangu kamzalisha MTU mwanafunzi Wa chuo, bi mkubwa anakonalia asimuoe wala mini. Alee tu mtoto. Uncle zangu, kaka zangu, ndo wale wale wakute wake zao, au mama zetu wanavolaani vimada sasa! Nyooooooo! Vimada Wa ndani ya nyumba kimyaaaa! No body says shit abt anything! Aliteleza tu. NDO MAANA NAWAAMBIA SPARE ME THE SENTIMENTS! MTAWHINE HAPA BT THE SOCIETY IS NOTHING CLOSE TO PERFECTION!
Nahisi tunaongea lugha tofauti hapa mkuu.
Tukiongelea kidhambi na Mungu tusichanganye na utashi wetu wa kufikiria.
Kama tunakubaliana hapo kwenye dhambi kuhukumu hili itakuwa ni unafiki wetu tu binadamu, think think wewe binafsi madhambi yako na usivyoweza hata kuyakiri nani anaafadhali kati yako na huyu binti.
Hahaaaaaaa! We hujawazoea TEAM FREE P! THEY BE JUDGING YOU NOW BUT LATER FULL KUPIGA P FREE OF CHARGE! AND THEY BE TELLIN THEMSELVES ITS OKAY WITH GOD SINCE THEY DIDINT CHARGE! HAHAAAAA!
Hahahaaahaahaha..... Jumapili Leo ibada ilikuwa nzuri sana.
Back to the topic umalaya ni umalaya, anayetembea na mume/mke wa mtu au anayetembea na mtu ambaye hajamuoa au kumuoa wote malaya, hata wale ambao wazazi wao hawajaoana ni Malaya na watoto nizao la umalaya. Mtu ambaya natakiwa kumuonesha majuto yangu ni Mungu pekee sio mwanadamu.
Hahahaaaaaaa...umesahau nawao wamezaliwa njeee hahahaaaaa, muhudumu naomba castle lite nyingine 5 mpeleke na yule kaka pale vodka nyingine, maisha raha sana kwako magumu wengine wanateleza tu.
MMU HOT TALK....
Nilikua busy celebrities forum hadi nikasahau mambo ya hot talk
Karibu bado hujachelewa kabla hujakaa anza kusalimia kwanzia kule mwanzo afu uchukue kiti uangalie mambo yanavyokwenda.
Nakuelewa mzazi...issue ni kwamba yeye ana jisifu kwamba ni sahihi.....tukijisifu na dhambi tunajenga usugu kwamba haya madhambi yetu tunayofanya kila siku ni sahihi,neno kutubu litakua msamiati.....im a killer,im not proud of it,im trying to repent na kuacha,mungu nisaidie