MMU Fursa BET

MMU Fursa BET

dadiiiiiiii nimekuja... ebu tuanze kuisoma plishhhhhhhhhhh.... maana katumia kiswahili ila nahisi kutoelewa kabisaaaa....

niambie mwanangu.. habari za siku nyingi?

hebu ongea na Window7 wakati mi niko najiandaa kutoka.. sawa mwanangu?
 
Last edited by a moderator:
Bado niko nae kishingo upande ingawaje kwa sasa kuna fursa nainusanusa kwa ukaribu.. Ntakujuza ikikaa sawa...!
Window7 honey wangu mbona sielewi kila nkijaribu kukuacha moyo unakataa hivi nini kipo kati yetu jamani Excel tuburudishe kwa jisongi hilo japo video tu. miss neddy nlikwambia kaa mguu sawa.
 
Last edited by a moderator:
Window7 honey wangu mbona sielewi kila nkijaribu kukuacha moyo unakataa hivi nini kipo kati yetu jamani Excel tuburudishe kwa jisongi hilo japo video tu. miss neddy nlikwambia kaa mguu sawa.

Mambo yangu mujarabu.. Ila hata me nashindwa kukuacha my mchuchu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom