MMU Fursa BET

MMU Fursa BET

hahahaaa!! hivi ukoo na nani siku hizi lava lava?

Umempatia haswaa.. Me bado niko na mango g... Ila natumai J.lee nae atrudi nyumbani soon. Afadhali umemuuliza hilo swali maana mmhh.. Kazidi huyu binti wakitanga kila surual anavaa..

Halafu nataka nikutume kwa promiseme kuna zawadi umpelekee. Si unajua nina undugu nae kwa mbaaali.
 
Last edited by a moderator:
Bado niko na mango g... Ila natumai J.lee nae atrudi nyumbani soon. Halafu nataka nikutume kwa promiseme kuna zawadi umpelekee. Si unajua nina undugu nae kwa mbaaali.

ahaa!! kumbe bado mpogo pamoja?

sasa promiseme kama unamtaka niambie niwashe mashine nikatesti injini zangu kule nikuletee mtoto ndani...!
promiseme atanielewa tu ofcoz si mbishi!
 
Last edited by a moderator:
Hukawii kumuita mama bhoke. Hebu kaa mbali nae.

kwani J.lee hana kijungu kizuri cha kuitiwa mama bhoke? J.lee namuona ana sifa zoote basi tu mnazingua!
mtoto akitembea kama vile haendi, nyuma kuna earthquake inaruka na kushuka.. ngoja aje!
 
Last edited by a moderator:
ahaa!! kumbe bado mpogo pamoja?

sasa promiseme kama unamtaka niambie niwashe mashine nikatesti injini zangu kule nikuletee mtoto ndani...!
promiseme atanielewa tu ofcoz si mbishi!

Aisee umemuita kabla sijajiweka fiti. Enewei ngoja niandae zawadi yake mapema.
 
Last edited by a moderator:
kwani J.lee hana kijungu kizuri cha kuitiwa mama bhoke? J.lee namuona ana sifa zoote basi tu mnazingua!
mtoto akitembea kama vile haendi, nyuma kuna earthquake inaruka na kushuka.. ngoja aje!

Anajicho huyo mtoto kama linataka kudondoka. Nampenda sana sema haishi michepuko. Kuna huyu Molembe ndio kabisa kazaa nae mtoto sijui jamaa nae kapigwa changa la mcho.????!!! Huhuhuu.
 
Last edited by a moderator:
Aisee umemuita kabla sijajiweka fiti. Enewei ngoja niandae zawadi yake mapema.
usiwe na wasiwasi! mi nina uwezo wa kumchomoa ndani ya kundi la simba wakali na akaja!
Anajicho huyo mtoto kama linataka kudondoka. Nampenda sana sema haishi michepuko. Kuna huyu Molembe ndio kabisa kazaa nae mtoto sijui jamaa nae kapigwa changa la mcho.????!!! Huhuhuu.
J.lee kazaa na Molembe? aisee mbona sielewi?
nameless girl hebu ruka huku mamii! kuna love story inaendelea.. uje kabisa tuisome pamoja!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom