MMU Fursa BET

MMU Fursa BET

zinakuwa zile nyekundu zileee....apo macho yanakuwaje lool

yanakuwa makavu tu labda zifikie kiwango kinachoweza kulipa deni la taifa ninaweza nikalegeza macho kwa faida ya tanzania nzima
 
ha!ha!haa kizuri nala na babu kuubal basi n wewe ah!
 
hahaha njo nkuondoe wac wac hunie

sasa we nae unazingua bana!!!

hivi unatambua ni kiasi gani nimeandaa shavu langu mpaka sasa?

hebu ruka huku tumalize usiku!
 
kwani umesikia mimi nyuki nachavusha maua mpaka unisogezee vijiua

acha basi miss bana!

as much as ninavyotype name yako hapa, am going like '' chapa chapa'' tony touch!!
 
Last edited by a moderator:
sasa we nae unazingua bana!!!

hivi unatambua ni kiasi gani nimeandaa shavu langu mpaka sasa?

hebu ruka huku tumalize usiku!

Ha!ha!ha!ha!.. Excel naomba ukae mbali na diha wangu mkuu
 
Last edited by a moderator:
yanakuwa makavu tu labda zifikie kiwango kinachoweza kulipa deni la taifa ninaweza nikalegeza macho kwa faida ya tanzania nzima

masikhara haya, ila nimegundua apa uantuzuga wewe sio mtu wa kuoenda minoti kiviile, una vitu vyako vingine unaangalia, trilioni 27 mchezo? Imagine kila kiumbe mtanzania anadaiwa laki 6 na soon zinafika milioni...
 
hahahahahaha napenda nini .
yaani ukiweza kuwalipia ndugu zangu wa kitanzania hizo kilo sita sita wanazodaiwa
we ndo utakuwa mwanaume wa shoka .
nitakupa moyo wangu mchana kweupeeeeeeeeeee
 
ha!ha!haa kizuri nala na babu kuubal basi n wewe ah!

co kwamba mm cmtaki babu yako! nisichotaka ni kukaa eda hv karibuni kwnza huyo babu yako modo kavaa na nan msuli aje kunvalia mie?
 
Window7 unajua sikuelewi ujue patachimbika hapa ooooh!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom