Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,329
- 17,855
mimi sio under 20 Excel unataka kuninong'oneza nini
kwa hiyo >20 unaambiwa tu moja kwa moja hakuna kuongong'onezana miss neddy?
Last edited by a moderator:
mimi sio under 20 Excel unataka kuninong'oneza nini
kwa hiyo >20 unaambiwa tu moja kwa moja hakuna kuongong'onezana miss neddy?
miss neddy bana sio vizuri! hata kama tuna confidence ya face to face, sio kila kitu turopoke!eeeeh maana mi sing'ati kucha nakutazama macho makavuuuuuuuuu
kasema hasomi primary wala sec
atakuwa yuko chuo uburudishaji kwa mababu kama wewe
miss neddy bana sio vizuri! hata kama tuna confidence ya face to face, sio kila kitu turopoke!
kuna baadhi ya maneno inabidi yaingie mdogo mdogo!! yani hadi unasinzia mwenyewe!!
come here miss!!
hahaha haya miss nedy msemaji/meneja/ katibu wng nakuona juhudi zako maa ntakuongeza mshahara
eeeeh maana mi sing'ati kucha nakutazama macho makavuuuuuuuuu
Kuna nini hapa, hebu nipe muhtasari chapchap sana.
yap we ukipewa hela na vibabu unaleta nikuwekeee sawa mtoto mzuri eeeeh sema tawile
nikitoa wallet bado macho yanakuwa makavu??
..safi sana naona mango g unalishika jukwaa vyema, kabla ya mpambano wenyewe kuanza we endelea kupasha misuli na hawa vijana wakati mabazazi yenyewe yako chumba cha kubadili nguo,na mwalimu wao anawapa mbinu za mchezo, na kwa kawaida uwanjani wanaingia siku inapoanza 0001(12:01 am), wakati unaendelea kufanya nao zoezi ngoja nikutabulishe kwa hawa ndugu wafanyakazi wa uwanja alphonce.NET-ni afisa mauzo yeye hushughurika na uuzaji wa tiketi,kidogo anazo ingawa anachakachua sana, Polisi jamii-huyu kazi yake ni kuzuia vurugu hasa pale itapotokea kuna upendeleo umefanyika, Jipu-huyu ndo hata usimsogelee manake maneno yake yanauma hata kuliko jina lake, tafadhari huyu Jipu mwogope ka kimeta, Prince Akeem-huyu ni mwokota mpira na mara nyingi hujishughurisha na usafi wa uwanja, Window7-anahusika na urushaji wa matangazo ya moja kwa moja studio namba 045, Shamkware-kiongozi wa kikundi cha ngoma na ushangiliaji..