Mbona sielewi kinachoendelea hapa
Mbona sielewi kinachoendelea hapa
ha!ha!haa wivuuu!shaibu langu linabebwa babu Asprin nasema kwa bibi haiwezekani tukose wote loh!
Braza ilibidi niondoke ZAMUNDA ili nije niitwe DIha.
kale katoto kameniita mpenzi mpaka nikakaota usiku utadhan nakajua.
Mwenye namba aweke hapa
Kumbe upo diha.
hahahahaha jaman criaz mtanivunja mbavu!
ha!ha!haa ndo mambo ya JF hayo bibi wee@mango.g