MMU Fursa BET

MMU Fursa BET

usiniogope jamani hao ni wivu tu ndo maana wananikandia sawa mtoto mzuri achana na wazee wa east africa hao bado wanawaza mafao yao

Ha!ha!ha!ha!.. #Jipu umenifanya nicheke mpaka nimecheua kabia kangu.
 
co kwamba mm cmtaki babu
yako! nisichotaka ni kukaa eda hv karibuni kwnza huyo babu yako modo
kavaa na nan msuli aje kunvalia mie?

ha!ha!haaa!duh!kweli shemeji angu Window 7 kakushka akili loh!ngoja niandae mchango wa kharusi
 
Last edited by a moderator:
ha!ha!haaa!duh!kweli shemeji angu Window 7 kakushka akili loh!ngoja niandae mchango wa kharusi

Tena sitaki kuchelewesha ndoa naona kuna watu kama Jipu wanataka kunichapia kweupe
 
Last edited by a moderator:
usiniogope jamani hao ni wivu tu ndo maana wananikandia sawa mtoto mzuri achana na wazee wa east africa hao bado wanawaza mafao yao

hahahaha! jina lako nalo lnantisha
 
Ha!ha!ha!ha!.. Excel naomba ukae mbali na diha wangu mkuu

hahahahaaa!!! mkuu, huyu dem bila shaka ni nshomile!

nazidi kushtuka tu kila wakati!!

akijichanganya mi nakula tu bana, kwani nini!!
 
co kwamba mm cmtaki babu yako! nisichotaka ni kukaa eda hv karibuni kwnza huyo babu yako modo kavaa na nan msuli aje kunvalia mie?

mmmh mbona una maneno hivi kama mtu mzima kabisa above 20?
 
huuuuu makubwa haya mpnz

bebii unajua nakushangaa sana! hivi kwann unapoteza muda na hawa jamaa?

hebu bonyeza kitufe cha send message tuongee privately!!

sawa mtoto mzuri? yani wewe hakuna ane kuzidi humu ndani!!!
 
Back
Top Bottom