MMU Fursa BET

MMU Fursa BET

mweeh. naona aibu mwezio.
labda nikupigie kwenye simu:A S wink::A S wink::wink2::hippie:
 
Nna wasi wasi na jinsia ya mango g...

Mmh! Hapana!
 
Last edited by a moderator:
usichoke vibabu ndo vnajua kulea kianalog viduchu wasumbufu ka nini take my words!!
babu Asprin umependwa huku njo uonee

mmh haya! haaa ucmuite bna huyo shaibu cmpendi tenah
 
Last edited by a moderator:
..safi sana naona mango g unalishika jukwaa vyema, kabla ya mpambano wenyewe kuanza we endelea kupasha misuli na hawa vijana wakati mabazazi yenyewe yako chumba cha kubadili nguo,na mwalimu wao anawapa mbinu za mchezo, na kwa kawaida uwanjani wanaingia siku inapoanza 0001(12:01 am), wakati unaendelea kufanya nao zoezi ngoja nikutabulishe kwa hawa ndugu wafanyakazi wa uwanja alphonce.NET-ni afisa mauzo yeye hushughurika na uuzaji wa tiketi,kidogo anazo ingawa anachakachua sana, Polisi jamii-huyu kazi yake ni kuzuia vurugu hasa pale itapotokea kuna upendeleo umefanyika, Jipu-huyu ndo hata usimsogelee manake maneno yake yanauma hata kuliko jina lake, tafadhari huyu Jipu mwogope ka kimeta, Prince Akeem-huyu ni mwokota mpira na mara nyingi hujishughurisha na usafi wa uwanja, Window7-anahusika na urushaji wa matangazo ya moja kwa moja studio namba 045, Shamkware-kiongozi wa kikundi cha ngoma na ushangiliaji..
 
usichoke vibabu ndo vnajua kulea kianalog viduchu wasumbufu ka nini take my words!!
babu Asprin umependwa huku njo uonee

heee ucmuite bna mi cmpend tenah
 
Last edited by a moderator:
usichoke vibabu ndo vnajua kulea kianalog viduchu wasumbufu ka nini take my words!!
babu Asprin umependwa huku njo uonee

Kuna nini hapa, hebu nipe muhtasari chapchap sana.
 
Last edited by a moderator:
ha!ha!haa wivuuu!shaibu langu linabebwa babu Asprin nasema kwa bibi haiwezekani tukose wote loh!

Ohoo na wewe sasa unaanza kupotea njia.... hebu twende PM kwanza tukaweke mambo sawa.
 
mmmh hapa pagumu, hii mechi kama Chelsea na Man city,,,,underdogs wanaeza kutokelezea ngoja niwe kamisaa tu😛ray:
 
Back
Top Bottom