Ujio wa under 20
mango g umeleta competition kubwa sana kwa vijana hapa MMU. Kilichonistua hata mkongwe kama
Asprin nae anakanyatia haka ka binti kenye swarga za ha. Yaani dia kanaita diha.. mwe!!
Hawa hapa wametanagaza nia mpaka sasa..
alphonce.NET
lilieNDI
victoria wa happy
Shamkware
Jipu
Polisi jamii nae ameshindwa kuficha hisia zake kwa under 20
Deata ndio kabisa mpaka chozi linamtoka kwa under 20.
Bila kumsahau
Prince Akeem nae katoroka Zamunda kafuata under 20 bongo.
Nimesikitika kuona mdogo wangu
Excel amekua mshauri badala yakuchukua fursa..
Heshima kwa Mchungaji
Eiyer ,
Swts na
miss neddy kwakumpa ushauri mwema lakini tafadhali hapa kwenye bet mmuachie mwenyewe achague papaa lakumlea.. Si unajua Jf party second version iko arround.
Ninachokuomba dia
mango g njoo ututajie nani atakufaa kati yetu..
Usisahau hata mimi
Window7 nimetangaza nia..