excel
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 22,434
- 17,862
Bazaziiiiiiiiii!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
triiiingg!!
kengele hiyo baba! tunaamsha watawa wote waje ku-share ubazazi wako!
Bazaziiiiiiiiiiiiiii
Dah!!!!!!!!
tena umwambie afanye haraka kurudi la si hivyo na mimi atanikosa..............
hahahaa!@Excel nipo hapa mwenyekiti wa watalaka yeuuwi atakaeachwa aje kwenye register book maana dalili ya mvua...kijana ukiendelea kumfuatilia huyo mwanamke ntakuachia uwe nae, sawa? sipendi confusion na headaches... ukimind sana nawachapa wote wawili.. @tinchy kaja! umefuraaaahi kwa kumpa like tu! huko pm tunajua mlichofanya?
tena umwambie afanye haraka kurudi la si hivyo na mimi atanikosa..............