J.lee
JF-Expert Member
- Mar 20, 2012
- 1,672
- 834
Last edited by a moderator:
Swafii shemeji. Akiendelea kukutesa njoo ulale kwangu leo.
Angelicious nakuita unagoma, si ndiyo?
hivi we mwanamke ani kakupa kiburi mpaka unanisonya mimi?
i have never been bored like today..!
umekaa nusu saa nzima kimya ukimaanisha kuwa kuna mtu anakupa kiburi zaidi, si ndiyo angel?
nikutakie usiku mwema, na kama kuna mnyama yeyote aliekupa hifadhi, ataniambia ukweli asubuhi..
waione Eiyer, Angelicious, Window7, mwallu, Husninyo, DEMBA, J.lee, mango g, mwekundu, Mashaxizo, Mtambuzi, Nicas Mtei, lara 1, miss neddy, kiwatengu, KOKUTONA, Heaven on Earth, watu8, charminglady, ladyfurahia (pole sana kwa kupigwa ban dadaangu), measkron, Eli79, Ruttashobolwa, kabanga, karucee, Asprin, Arushaone, Lady doctor, Passion Lady na wengineo watakaoingia hapa bila kutoa comment!!
jamani huyu nae yumo kwenye kundi la mabazazi! anatumia mwamvuli tu jamani!!
mimi nimeokoka kwa muda! ahsanteni!
nimefunga box la PM kwa muda... tutaonana jamani wadau wa MMU!
nawapenda wote!!
baby ake punguza spid basi utatuua kwa presha !!!
paroko wangu kaniangusha asee
au ndo majaribu?
mwallu meshindwa kusoma, umeonyeshwa picha bado unasitasita?
Angelicious, angalia ypou may be in for a rough ride, njoo ufanyiwe maombi parokianiI am so sory mahaba niue wangu jana ulimi uliteleza tu si unajua wivu sina ila roho inauma?
ngoja kwanza..pengine ana sababu ya msingi sana
Husninyo yupo mbona.....sema kakukimbia #teambazazi , ila parokiani yupo, ana majukumu ya ndani zaidi sasa hivi huwezi kumwona onaunaweza kutueleza kwanini Husninyo amekimbia parokiani?
kuwa muwazi la sivyo ntafungua mafaili yote hapa mbele za watu.
Angelicious, angalia ypou may be in for a rough ride, njoo ufanyiwe maombi parokiani
cc Eiyer mwallu Excel
why not? give me one sec