MMU Fursa BET

MMU Fursa BET

naona wahanga J.lee na Window7 mnachekana! tye tyeytyeyeyeyee!!
Excel si unajua tena kisima cha kale hakifukiwi? Window7 siwezi kumnunia amenifanyia mambo mengi sana hili jumba,gari,supermaket vyote ni yeye amefanya shoke yule uups sorry tuongee taratibu asije kuskia mwenyewe atanuna.
 
Last edited by a moderator:
thanks jaman ujue the day unaniacha nliwapa shida sana Excel n Angelicious nlizimia almost mara 3 nkalazwa n all that bt thanks to baba paroko Kaizer aliniombea nkawa poa so endelea n life lako let us be friends nimeokoka nw ubazazi tena basi.

mbna hutoagi like wewe?
 
hata hako kanyota baada ya pm hukaoni?
ntalifanyia kaz hlo kuna thread nimeiona CC inamaelekezo ya hayo makitu hata kwa JF mobile so ntadeal na hilo usihofu.
 
pole sana mamii... mi natafuta maisha yangu mwenyewe huku..
umepata updates za matokeo ya mpira Excel?maana nimepata hasira nimeondoka half time.
 
Last edited by a moderator:
mnikomeshe mara ngapi j.lee, sina ubaya na wewe besti, kwanin mmemtorosha Angelicious... na mkae nae huko huko! simtaki tena!
sikukomeshi wewe bhana ila huyo zilipendwa Window7!!ngoja nikuitie we wifi Angelicious unaitwa na Excel huku mbona hvyo ah!
Excel na wewe usizuge uckute umemwona mgeni ndo unatafta sababu mwone kwanza wifi njoo tulianzishe huku.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom