MMU Fursa BET

MMU Fursa BET

co kweli, nina mume m1 tu ambae ni windo,cjawahi kuolewa kabla

haya... ila siku nyingine uwe unaanza kwa ktoa like, unaongeza rep halafu ndio unacomment! sawa mango g?
 
Last edited by a moderator:
yeah!yeah!tena kwenye saa 6 flan hivi yan pepo anatoka vizuuri ha!ha!haaa

Mbona mapepo ya saa 6? Miye niliuliza maombi ya mkesha ya kumpapasa Mungu yapo parokiani sijajibiwa mana miye nayapenda maombi hayo zaidi especially nikiwa na Excel wangu tunampapasa Mungu vizuri kweli
 
Last edited by a moderator:
Mbona mapepo ya saa 6? Miye niliuliza maombi ya mkesha ya kumpapasa Mungu yapo parokiani sijajibiwa mana miye nayapenda maombi hayo zaidi especially nikiwa na Excel wangu tunampapasa Mungu vizuri kweli
wifi kwani Excel nae yuko parokiani?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom