MMU Fursa BET

MMU Fursa BET

mkuu, wadau wanathema eti hichi ni chitoto cha bukoba!!

kwenye a kinaweka ha na kwenye ha kinaweka a!

hujaonaga pipo badala ya kuandika huruhusiwi wanaandika huruusiwi?

njoo wanaweka njoho? so dia goes with diha!!

teh!

ni kama wale wanaosema nyambie, badala ya niambie
 
mkuu, wadau wanathema eti hichi ni chitoto cha bukoba!!

kwenye a kinaweka ha na kwenye ha kinaweka a!

hujaonaga pipo badala ya kuandika huruhusiwi wanaandika huruusiwi?

njoo wanaweka njoho? so dia goes with diha!!

teh!

uctake kujifanya unanijua saaaana kumshinda jipu wng
 
Huu mpambano huu balaaa....mi meamka ligi bado tu?
 
Back
Top Bottom