mango g, hebu jaribu kufikiria mtoto mzuri,
hapa kati ya window7, jipu, prince akeem na wengineo wanaokurukia rukia kwa nyuma kama tai, hamna mwenye neno na wewe zaidi ya kutaka kuchafua night dress yako!!
Kaa chini ufikirie, mimi ndie mwanaume pekee niliekuwa branded for a romantic lady like you!!
Kuchapiwa ukusikie kwa jirani shemeji. Kwa mtu kama mimi shortcut itahusika tuu.
Shemeji hebu jaribu kuongea nae huyu binti mchanga jamani. Mbona ana hasira siku hizi?
Si unajua fursa tena mkuu. Acha tutoane jasho ikibidi hata manundu yatahusika.
hahaahaa nyie mnataka wasio na experience au watumiaj wa zile sabun teh teh!?, kila la kheri
mi nafuatilia mpambano, ongeza bidii mkuu unaweza kubahatika kwa under20 lol!
hahaahaa nyie mnataka wasio na experience au watumiaj wa zile sabun teh teh!?, kila la kheri
mi nafuatilia mpambano, ongeza bidii mkuu unaweza kubahatika kwa under20 lol!
hhaahaahaahaa mi nshachora mstari atakayeufikia mapema atafutwa jasho na MTOTO,
we ishia kuomba kusikia sauti me ndo nachukua mtoto huyo
Si unajua tena bado kadogo. We kafunde tu shemeji usichoke nimekuandalia zawadi murua.
Nitakua mimi.
mango g, ngoja nikuulize swali.. ''hivi bunduki bila risasi yaua namna gani''?.. unajua?
sasa.. hebu soma kidogo hapa.. Tafadhali lakini..! ''
If I had to choose whether to breathe or to love you, I would use my last breath to tell you that... I love you."
kuna watu wanasema eti you fall in love once.. mi nasema si kweli kabisa, kwa sababu everytime i look at you eyes, i fall in love again and again!
dear mango g, tafadhali tambua hili..
Meeting you was fate, becoming your friend was a choice, but falling in love with you was beyond my control.
Si unajua tena bado kadogo. We kafunde tu shemeji usichoke nimekuandalia zawadi murua.