MMU Fursa BET

MMU Fursa BET

Hommie naomba mwongozo wako, naona kama hili embe limeangukia kwenye jipu, je hainipasi sasa kucheza kungfuu na J.lee??

Kungfuu zinahusu, tena kama zile za Jack Cheni (Rush hour, remember) hebu na wewe fanya kurush kabla J.lee hajakuzidi mbinu? umemkagua lakini hommie?
 
Last edited by a moderator:
Nasimama mbele ya Umma jamii na kadamnasi,
Nahisi kuvuja jasho jembamba na mtiririko wa kamasi.
Siyo siri kwa mtandao huu, Inspector Nimeuawa kikatili
Kwa kumpenda mtoto wa kicolored, babad, mweusi, uso soft usio chunus
Natural color Chotara,mrefu, mng'avung'avu, maji ya kunde kenda hewani sekunde.
Kwao Orbey, Oyersterbay, Masaki, binti huyo mtanashati
Mbwa mkali, geti kali, mambo yao super siyo diesel, usafiri wa kifahari
Chaser mayai, vioo vya button, ndani viyoyoz.
Kila siku akitaka anachange, corando, royce-royce Range, mara mecedes benz.
Wakati msela kajamba nani, maisha temeke mikoroshini
SINA HATA BAISKELI!
 
ucnipe! atanipa nyau diha windo wangu.

eeenh!! mbona we nawe hueleweki? ki.chupi chako wampa nani?

mara Window7 nyau, unasema unampa! mara hiki kijamaa cha kariakoo shimoni sjui nani sijui Jipu nacho kimo!

mara kikongwe Asprin nae anataka kitu cha saa sita mchana anyonye, mara J.lee nae yuko nyuma nyuma!!

mmhh.. mi nshajitoa zamaaaaani!! nsije nkaambiwa nna kibamia bure kumbe greda nyingi zimeshapita!

hahahahahaaaa!!!
 
ndo mana unacheka ka zombi
 
Last edited by a moderator:
mmh ina mana windo na kna jipu na wengne wana umri wa kua na mtt kama mm????
Hahahahahaha nilikua natoa angalizo mwanangu si umesema uko under 20 na humu wapo wanaoweza kukuzaa wengi tu mama .
 
nani alishinda mkuu?

haka ka anda seventiin ni kabaya kweli! kanadiriki kutuita catty perry? aithee huu udhalilishaji!!

mi hata kakija na chupi on hand thikapi huduma!!

Nilishinda Mimi mkuu. Hayo mengine nitayarekebisha tukiwa kwenye ndoa.

Cc my wife mango g
 
Last edited by a moderator:
Nimekusoma mkuu na mtoto ni yule uliyemzaa kama si wako huyo mkubwa mwenzio lol.

Kweli mkuu tena wakati mwingine kanakuambia uncle mambo!!. Ila taratibu asije mama Sitta akatusikia maana enzi zile ni minister alipinga sana haka kamsemo.
 
Kweli mkuu tena wakati mwingine kanakuambia uncle mambo!!. Ila taratibu asije mama Sitta akatusikia maana enzi zile ni minister alipinga sana haka kamsemo.
Hahahahaha hawezi kutusikia wako busy na position ya mtelule atakaekaa ndani ya jumba jeupe muda huu kila mwenye hamu nalo anaota kama anaapishwa lol.
 
Nilishinda Mimi mkuu. Hayo mengine nitayarekebisha tukiwa kwenye ndoa.

Cc my wife mango g

hivi mkuu kwanza ulifanya SWOT analysis?

au ulikiingia tu kwa diha bila kusoma plate number?

angalia usije kuta imeandikwa T 123 EXCEL!

utalia!
 
Back
Top Bottom