MMU Fursa BET

MMU Fursa BET

Hahahahaha hawezi kutusikia wako busy na position ya mtelule atakaekaa ndani ya jumba jeupe muda huu kila mwenye hamu nalo anaota kama anaapishwa lol.

Ha!ha!ha!ha!.. Mzee 7 huenda akaenda kasri. Ngoja tuone
 
hahahahahhaha eti wazee mwisho jukwaa la siasa

Sasa diha naona leo umeamka vizuri kweli. Tangaza ndoa basi ili tufunge hii bet mana Jipu anakumezea mate kweli.
 
Last edited by a moderator:
hivi mkuu kwanza ulifanya SWOT analysis?

au ulikiingia tu kwa diha bila kusoma plate number?

angalia usije kuta imeandikwa T 123 EXCEL!

utalia!

SWOT nilishafanya mkuu. Tender nilipeleka procure unit ikatangazwa hatimaye kampuni ya J.lee ikajitokeza na kunipatia mango g ambayo ni braaand, quality and portable product

Kwa sasa inasomeka T U20 Window7.

Cc my wife mango g & in-law J.lee
 
Last edited by a moderator:
Sasa diha naona leo umeamka vizuri kweli. Tangaza ndoa basi ili tufunge hii bet mana Jipu anakumezea mate kweli.

kwanza windo nkuulize ulikua wapi mchana kutwa? hta hunipend ww bora jipu
 
Last edited by a moderator:
swot nilishafanya mkuu. Tender nilipeleka procure unit ikatangazwa hatimaye kampuni ya j.lee ikajitokeza na kunipatia mango g ambayo ni braaand, quality and portable product

kwa sasa inasomeka t u20 window7.

Cc my wife mango g & in-law j.lee

ila mkuu mi haka kamanzi sikapendi kama nini!! Kana channel of distribution kubwa sana!!

Middle men wako wengi mno mpaka price imekuwa very high... Mi huwa napenda direct channel tu!!

Competition sometimes id very harmful...!

Nimekachana... Kakiamua kulia, acha kalie tu!
 
eeenh!! mbona we nawe
hueleweki? ki.chupi chako wampa nani?

mara Window7 nyau, unasema unampa! mara hiki
kijamaa cha kariakoo shimoni sjui nani sijui
Jipu nacho kimo!

mara kikongwe Asprin nae anataka kitu cha saa
sita mchana anyonye, mara J.lee nae yuko nyuma
nyuma!!

mmhh.. mi nshajitoa zamaaaaani!! nsije nkaambiwa nna kibamia bure kumbe
greda nyingi zimeshapita!

hahahahahaaaa!!!

mi mwanamke mwenzie jaman loh!
 
Last edited by a moderator:
ila mkuu mi haka kamanzi sikapendi kama nini!! Kana channel of distribution kubwa sana!!

Middle men wako wengi mno mpaka price imekuwa very high... Mi huwa napenda direct channel tu!!

Competition sometimes id very harmful...!

Nimekachana... Kakiamua kulia, acha kalie tu!

bebi windo njoo uone excel ananionea...
 
we ctak ugomv n babu mie Asprin
Thats my girl.... Hivi vitoto vinavyodhani mapenzi ni nje ndani nje ndani tu........ Tupa kule.

Njoo kwa babu upate raha ya kuzaliwa mwanamke.... Kila kitu unapewa kwa nafasi. Ushindwe mwenyewe.

Tena wakuwache miaka mia.
 
kwanza windo nkuulize ulikua wapi mchana kutwa? hta hunipend ww bora jipu

Nilikua kazini wangu. Achana na Jipu huyo atafukuzwa kazi muda si mrefu anacheza na computer za ofis ili akupate
 
Last edited by a moderator:
Thats my girl.... Hivi vitoto vinavyodhani mapenzi ni nje ndani nje ndani tu........ Tupa kule.

Njoo kwa babu upate raha ya kuzaliwa mwanamke.... Kila kitu unapewa kwa nafasi. Ushindwe mwenyewe.

Tena wakuwache miaka mia.

ha!ha!haa na watuache movie iendelee Asprin wangu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom