mmu exclusive na @lara i

mmu exclusive na @lara i

Hapo inabidi ukomae kwa kusema njemba mbili tu zilifanikiwa kula papuchi
kwani unatakiwa uliwe na wangapi ndo upate mtoto? kwanza mimi nimekosea wenzangu wameliwa na mmoja tu
 
Smile
Unapenda color gan?na whats 'ya fav perfume?
Na unapenda kufanya nini in ur alone time?
 
Last edited by a moderator:
kwani unatakiwa uliwe na wangapi ndo upate mtoto? kwanza mimi nimekosea wenzangu wameliwa na mmoja tu

Unasema hujaguswa alafu papuchi unakamulia ndimu/limao
 
Ndoto nzuri nami nataka watoto wa2 ila sitaki kuolewa,una mkakati gani wa kumpata wa kujenga naye familia bora?sidhani kama utakurupuka tu na kuolewa na yeyote bora liende,coz umekuwa ukisema we hutoi papuchi na hawa men wa ckuhizi bila kugonga muhuri hujawa wife material
miaka kumi ijayo ndoto yangu ni kuwa na familia ya watoto wawili,nimiliki mjengo wangu bongo ,pia carrier yangu niwe kwenye senior position , pia niwe close na MUNGU wangu zaidi ya nilivo sasa si unajua ujana tena?
 
Smile
Unapenda color gan?na whats 'ya fav perfume?
Na unapenda kufanya nini in ur alone time?
mimi napenda sana ,red black na blue.kuhusu pafyum sipendi saana harufu so mimi napenda kujipaka deodorant iliotulia then naweka pafyumu huwa nabadilisha sana sana sina ambayo nipo common nayo
nikiwa alone bwana kiukweli 90 au 95% ya life yangu nipo alone cause ofsini nipo room yangu mwenyewe so kama ni ofsini nakuwa busy na shughuli za ofisi .kiasi nikipata chance naintaract kidogo na wenzangu,nikiwa home napenda sana kucheki movie na kusikiliza vipindi mbalimbali vya radio especialy gospel.mahubiri ya watumishi mbalimbali station tofauti tofauti,pia kuchat chat na marafiki zangu kwa simu na kuwapigia
 
Ndoto nzuri nami nataka watoto wa2 ila sitaki kuolewa,una mkakati gani wa kumpata wa kujenga naye familia bora?sidhani kama utakurupuka tu na kuolewa na yeyote bora liende,coz umekuwa ukisema we hutoi papuchi na hawa men wa ckuhizi bila kugonga muhuri hujawa wife material
ahaaa kuhusu mkakati wa kumpata wa kujenga the family nitampata tu. hakuna linaloshindikana hapa duniani ukimtegemea Mungu.ujue kusudi la ndoa mungu alilianzisha mwenyewe .aliona adamu ni mpweke akaona ampe msaidizi wa kufanana nae.Adamu wala hakumuomba mungu wala nini.so hata mimi siku mungu akiona nipo mpweke lazima atanipa wa kwangu.ndo maana huwa sishobokei Hayo mambo yasijenitokea puani bure
 
mimi napenda sana ,red black na blue.kuhusu pafyum sipendi saana harufu so mimi napenda kujipaka deodorant iliotulia then naweka pafyumu huwa nabadilisha sana sana sina ambayo nipo common nayo
nikiwa alone bwana kiukweli 90 au 95% ya life yangu nipo alone cause ofsini nipo room yangu mwenyewe so kama ni ofsini nakuwa busy na shughuli za ofisi .kiasi nikipata chance naintaract kidogo na wenzangu,nikiwa home napenda sana kucheki movie na kusikiliza vipindi mbalimbali vya radio especialy gospel.mahubiri ya watumishi mbalimbali station tofauti tofauti,pia kuchat chat na marafiki zangu kwa simu na kuwapigia

okay vizuri na nashukuru kujibu vizuri.
Leo ukipewa nafasi ya kuwa admin wa jf,ungefanya nini cha tofauti?
Na ukiambiwa uwashukuru watu wa tatu wa jf,kwa kuleta au kupunguza kitu flani ktk maisha yako hhapa mtandaoni utawashukuru kina nani?na kwanini?
 
Tehe tehe bwana atamleta hakika, wewe ni binti umekamilika na unahisia kama wengine unakabiliana vipi na mihemko ya mwili?genye bana hazina baunsa
 
aisee ningepewa u@Invisible wa jf kwanza sijui kama mngeniona humu jukwaani ningekuwa busy na mapm ya watu ningependa kuchungulia pm ya Kongosho nijue ni wa kike au wa kiume maana amenichosha na hii jinsia yake.
pili kuhusu watu wa kuwashukuru kwanza ningependa kumshukuru mwanzilishi wa huu mtandao.max maana hapa bwana nimejifunza mambo mengi ya kimaisha naweza kusema through jf nimekuwa strong sana kimaisha. kiuchumi carrier wise kimahusiano kila kitu,nawashangaa sana watu wanaobeza hapa kiukweli.
wengine wa kushukuru kwa kweli ni wengi sana mimi ukisoma post zangu za mwanzoni kipindi najoi utaelewa zaidi nilikuwa nimeumizwa sana nilikuwa hata sijipendi ila watu huku walinishauri nakula good time sana humu basi tu!
 
Last edited by a moderator:
Tehe tehe bwana atamleta hakika, wewe ni binti umekamilika na unahisia kama wengine unakabiliana vipi na mihemko ya mwili?genye bana hazina baunsa
mihemko ipo ila sisi ni binadamu tumepewa akili za kutatua matatizo yote. navumilia tu,kwanza mwanamke hata ukiwa na mihemko kiasi gani dkk mbili tu zinapotea.unakunywa maji unalala
 
Haha haha ntajaribu hii mbinu yako ya kunywa maji manake nikimkosa babe wangu wiki2 nakuwa mgonjwa
 
Nilitaka nikeshe humu ila switii kaja ananitoa out so swali la mwisho, ukipata nafasi ya kuzungumza na spika wa bunge anna makinda utamwambia nn?
 
kupenda nilishapenda ila siwezi mtolea mtu chozi aisee. mimi nina moyo mgumu sana.sipendi kulazimisha mambo.kama ipo ipo tu.kama haipo ikwende kule,
kuhusu mameni mi napenda wenye afya aisee chembamba hapana...yaani nataka mtu akinihug nienee mwilini mwake..vimbao mbao noo kwa kweli
ila matipwa tipwa nayo sipendi kabisa nasikia huwa hawana akili wapo wapo tu mimi nataka mwanaume kichwa... napenda mtu wa nkunidrive sio mimi nimdrive sasa haya manene nasikia wanakaa tu

Ha ha haaaaa.Wewe umepinda
 
Back
Top Bottom