Swts
JF-Expert Member
- Feb 5, 2012
- 3,062
- 1,299
aisee ningepewa u@Invisible wa jf kwanza sijui kama mngeniona humu jukwaani ningekuwa busy na mapm ya watu ningependa kuchungulia pm ya Kongosho nijue ni wa kike au wa kiume maana amenichosha na hii jinsia yake.
pili kuhusu watu wa kuwashukuru kwanza ningependa kumshukuru mwanzilishi wa huu mtandao.max maana hapa bwana nimejifunza mambo mengi ya kimaisha naweza kusema through jf nimekuwa strong sana kimaisha. kiuchumi carrier wise kimahusiano kila kitu,nawashangaa sana watu wanaobeza hapa kiukweli.
wengine wa kushukuru kwa kweli ni wengi sana mimi ukisoma post zangu za mwanzoni kipindi najoi utaelewa zaidi nilikuwa nimeumizwa sana nilikuwa hata sijipendi ila watu huku walinishauri nakula good time sana humu basi tu!
heheh Kongosho zidisha maombi watu wasipewe uinvisible.
Hongera mamii jf ni kila kitu.
Ukiambiwa face to face meeting na celebrity yoyote Bongo Tanz utapenda meet na nani?and why?
Last edited by a moderator: