Smile
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 15,347
- 11,628
- Thread starter
- #141
mi sipendi pm .... napenda uwaziUmesimama kinoma.....basi sawa , sina mengi maana ulisha kataa PM. Nimefata muongozo wako.
Ila kanuni ya MMU ibara ya 13 kipengele A, kinasema mtu anaweza kuMP mtu endapo tu atakua amevutiwa kutokana na maneno mazuri au sexy picture iliyoko kwene Avatar ya mlengwa