kupenda nilishapenda ila siwezi mtolea mtu chozi aisee. mimi nina moyo mgumu sana.sipendi kulazimisha mambo.kama ipo ipo tu.kama haipo ikwende kule,
kuhusu mameni mi napenda wenye afya aisee chembamba hapana...yaani nataka mtu akinihug nienee mwilini mwake..vimbao mbao noo kwa kweli
ila matipwa tipwa nayo sipendi kabisa nasikia huwa hawana akili wapo wapo tu mimi nataka mwanaume kichwa... napenda mtu wa nkunidrive sio mimi nimdrive sasa haya manene nasikia wanakaa tu
funguka bwana