mmu exclusive na @lara i

mmu exclusive na @lara i

Kwi kwi we ni noumeeer,basi hujawahi penda ,unavutiwa na mwanaume mwenye sifa zipi?binafsi wanaume wembamba ndo ugonjwa wangu
hapana aisee ,huwa nina machozi sana ila sijawai kutoa chozi kwa ajili ya mwanaume.ila moyo huwa unauma kindani ndani yaani uchungu ule wa kufa .ni noma
 
Uje nikukomaze mtoto umekuwa laini mno, inabidi ukomazwe kikwere hata ukiolewa mmeo akirudi asubuhi unahesabu katoka lindo.
 
Kama hujaolewa inamana utamu na tabia zako hazionyeshi unafaa kua wife material! ?
 
Hiyo staili ni noma mi mwenyewe kipotabo ila kidogo inivunje mkono cku1

Hahaha inaitwa iga ufe kuna ingine nitakupa jina lake kesho, yaani unajua ..... nalikisha ishu sasa, pole kwa kuumia mkono
 
Kwi kwi we ni noumeeer,basi hujawahi penda ,unavutiwa na mwanaume mwenye sifa zipi?binafsi wanaume wembamba ndo ugonjwa wangu
kupenda nilishapenda ila siwezi mtolea mtu chozi aisee. mimi nina moyo mgumu sana.sipendi kulazimisha mambo.kama ipo ipo tu.kama haipo ikwende kule,
kuhusu mameni mi napenda wenye afya aisee chembamba hapana...yaani nataka mtu akinihug nienee mwilini mwake..vimbao mbao noo kwa kweli
ila matipwa tipwa nayo sipendi kabisa nasikia huwa hawana akili wapo wapo tu mimi nataka mwanaume kichwa... napenda mtu wa nkunidrive sio mimi nimdrive sasa haya manene nasikia wanakaa tu
 
Kama hujaolewa inamana utamu na tabia zako hazionyeshi unafaa kua wife material! ?
kwani mtu anazaliwa akiwa ameolewa? si mtu anaolewa humu humu duniani? au sijakuelewa ! unadhani nilitakiwa niwe nimeolewa? if yes kwanini unadhani hivo?
 
Hayo mabonge unayopenda yanawaza msosi2,nini ndoto zako miaka kumi ijayo?
kupenda nilishapenda ila siwezi mtolea mtu chozi aisee. mimi nina moyo mgumu sana.sipendi kulazimisha mambo.kama ipo ipo tu.kama haipo ikwende kule,
kuhusu mameni mi napenda wenye afya aisee chembamba hapana...yaani nataka mtu akinihug nienee mwilini mwake..vimbao mbao noo kwa kweli
ila matipwa tipwa nayo sipendi kabisa nasikia huwa hawana akili wapo wapo tu mimi nataka mwanaume kichwa... napenda mtu wa nkunidrive sio mimi nimdrive sasa haya manene nasikia wanakaa tu
 
Nilibaki kudanganya nimedondoka bafuni siwezi irudia tena
Hahaha ajari kazini, mtoto Smile angevaa hogo mwaka mzima hajui shuruba ya zege halilali.
 
Last edited by a moderator:
Hayo mabonge unayopenda yanawaza msosi2,nini ndoto zako miaka kumi ijayo?
miaka kumi ijayo ndoto yangu ni kuwa na familia ya watoto wawili,nimiliki mjengo wangu bongo ,pia carrier yangu niwe kwenye senior position , pia niwe close na MUNGU wangu zaidi ya nilivo sasa si unajua ujana tena?
 
Nilibaki kudanganya nimedondoka bafuni siwezi irudia tena

Jamaa hakuwa mtaalamu wa kupiga stop injini ile unapiga kimgandisho kama komando kipenzi in case for any thing to happen.
 
miaka kumi ijayo ndoto yangu ni kuwa na familia ya watoto wawili,nimiliki mjengo wangu bongo ,pia carrier yangu niwe kwenye senior position , pia niwe close na MUNGU wangu zaidi ya nilivo sasa si unajua ujana tena?

Hapo inabidi ukomae kwa kusema njemba mbili tu zilifanikiwa kula papuchi
 
Back
Top Bottom