Kumbe ni kila wiki? Nina miaka mingi sijatembelea mji huu.safi sana Ciello...!
binafsi kuna vitu nimejifunza kupitia huu mjadala...!lara1 tunaomba topic ya wiki ijayo
Tokana na utandawazi wa siku hizi imekuwa kawaida watu kuwasiliana wakiwa hawajuani (eg PM za JF) na kufikia hata kuwa wapenzi kabla ya kuonana kufikia hata kupanga mipago ya siku tukioanana tuna-do! Je ulisha wahi kuwa kwenye wakati kama huu na experience ikoje?
Natamani next week Lara1 afanyiwe interview na PakaJimmy!! :happy:. Its just a wish though!!
Imejaza sana hadi network inashindwa kupenya!
Mamito nenda kasome..elimu kwanza..Haya maswali utayakuta kesho na utajibu..itabidi wakusamehe kwa kweli...
sijawahi....
hii exclusive ya leo duuh, lawama kwa host y huumuulizi mtu ratiba yake jameni ona sasa ciello anawaza pepa now
normaly i do kwa mtu niliye intimate naye sana na kama atapenda nimfanyie hivyo
cacico wala usimpake mafuta kwa mgongo wa kyupa, Ciello amekuwa mnyimi saaaaaana, sijui anaogopa nini kufunguka!!?mmmhhhh amazing indeed! tumekupata Ciello!
Mwita Maranya una nini nami?? nitakuwa bubu ghafla! mzima wewe??