MMU EXCLUSIVE!!!!!!!! Ciello Kufunguka on her Dating Life style and Journey to Become a Wife!!!!!!!


lara 1

lara 1

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2012
Messages
15,623
Points
2,000
lara 1

lara 1

JF-Expert Member
Joined Jun 10, 2012
15,623 2,000
Wakubwa zangu shiakamooni!!!!!!!!

Natumai wote mu wazima wa afya!!!!!!!!!

Topic: Dating Life Style and Journey to the Wife Hood

Guest: Ciello

Host: Lara 1

Back stage: Zinduna

Epilouge!

Leo katika MMU Exclusive Interview tunae The Bachelorette herself Ciello!!!!!!!!!!!!! Watu wanasema ringia bahati usiringie uzuri, ya kweli haya jamani???? Ciello bado yoko available, ofcourse if there is no ring in her finger it means she is available!!!!!! Leo atashare nasi her journey to Wifey Hood na challanges anazokutana nazo!!!!!

Karibu sana Ciello katika interview uko tayari kujilipua kwa hawa wadau!!!!!!!!!!?
Angalizo
Usiingilie mtiririko, fuatilia kwa likes tu! Jiheshimu uheshimiwe!!!!!! Show your great thinkers spirits!!!!!!! (Samahani kwa usumbufu hapo kabla!)
 
lara 1

lara 1

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2012
Messages
15,623
Points
2,000
lara 1

lara 1

JF-Expert Member
Joined Jun 10, 2012
15,623 2,000
Qn 1. Toka ujiunge JF umejifunza nini?
 
lara 1

lara 1

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2012
Messages
15,623
Points
2,000
lara 1

lara 1

JF-Expert Member
Joined Jun 10, 2012
15,623 2,000
Wenye jamvi wamekataza kuingilia mtiririko na side comments sasa hapo inakuwa issue! Tushahama naomba muhamie airtel! Please!
 
Nicole

Nicole

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2012
Messages
4,282
Points
0
Nicole

Nicole

JF-Expert Member
Joined Sep 7, 2012
4,282 0
[FONT=&quot]Awali ya yote nishukuru kwakunialika kwenye interview hii, nafahamu ni wengi wanaitamani nafasi hii niseme tu mmenipa heshima kubwa…shukrani sana!Nimejifunza mengi toka nijiunge na JF lakini kubwa ni kuwa watu tunatofautiana upeo,mitazamo, fikra so ni vyema kuheshimu mawazo ya mtu ingawa si rahisi kuheshimu mawazo ya mtu hasa pale inapotokea hukubaliani na hayo mawazo ama hizo fikra na mitazamo.....[/FONT]
Qn 1. Toka ujiunge JF umejifunza nini?
 
lara 1

lara 1

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2012
Messages
15,623
Points
2,000
lara 1

lara 1

JF-Expert Member
Joined Jun 10, 2012
15,623 2,000
Qn 2. Je JF imeshajibu? I mean vidate date na ofa ofa za watu wa humu ushakula kula? We need names please! (Chupi zinawabanaje mliotuma maombi!) LOL!
 
lara 1

lara 1

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2012
Messages
15,623
Points
2,000
lara 1

lara 1

JF-Expert Member
Joined Jun 10, 2012
15,623 2,000
Tumeamia thread mpyaaa please behave kule, bila hivo inakuwa utratraaaaaa! Jamvi linasheria zake!
 
Nicole

Nicole

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2012
Messages
4,282
Points
0
Nicole

Nicole

JF-Expert Member
Joined Sep 7, 2012
4,282 0
hapana bado haijajibu....hahahahahah
Qn 2. Je JF imeshajibu? I mean vidate date na ofa ofa za watu wa humu ushakula kula? We need names please! (Chupi zinawabanaje mliotuma maombi!) LOL!
 
lara 1

lara 1

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2012
Messages
15,623
Points
2,000
lara 1

lara 1

JF-Expert Member
Joined Jun 10, 2012
15,623 2,000
3) Katika safari yako ya kumpata the one! Whats your number (Umelala na wanaume wangapi hadi leo?)

 
lara 1

lara 1

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2012
Messages
15,623
Points
2,000
lara 1

lara 1

JF-Expert Member
Joined Jun 10, 2012
15,623 2,000
Kweliiiiiiiiii! Au ndo 3 *10/5

4)Ni vigezo gani unaviangalia kwa mwanaume kabla hujamkubali?
 
Nicole

Nicole

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2012
Messages
4,282
Points
0
Nicole

Nicole

JF-Expert Member
Joined Sep 7, 2012
4,282 0
kweli ndiyo...ukitoa one nit stands lakini...[FONT=&quot]Vigezo ni vilevile wanavyotumia wasichana wengi , kama character ya mhusika,physical features na upeo wa kung'amua ishu mbalimbali za maisha……. binafsi navutiwa na mwanaume anayenizidi upeo au ambaye tuko on same level, bt most anayenizidi upeo kwani hunipa challenge ya kujiongeza na mie kiasi flani, then physically awe mwembamba, mrefu, maji ya kunde na wote nilowahi wadate walikuwa na sifa hizo………mengine yatafwata badaye[/FONT]
Kweliiiiiiiiii! Au ndo 3 *10/5

4)Ni vigezo gani unaviangalia kwa mwanaume kabla hujamkubali?
 
lara 1

lara 1

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2012
Messages
15,623
Points
2,000
lara 1

lara 1

JF-Expert Member
Joined Jun 10, 2012
15,623 2,000
6)First time sex!!! How old were you then? Na first time sex with a new guy now, kile kihoro unakabilianaje nacho? Unawashaurije wa kaka kujiandaaje kutupunguzia stress?

 
Nicole

Nicole

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2012
Messages
4,282
Points
0
Nicole

Nicole

JF-Expert Member
Joined Sep 7, 2012
4,282 0
Nilikuwa nko vacit so i was matured enough to know wat iwaz doing, kihoro cha first time hapo kabla nilikuwa najilipua na alcohol b4 game...nowdayz nimeacha kilaj so sijui hw i wil cope ikitokea.,hawa wakaka nawashauri waache kupania game wa-act ka ni accidental sex nadhan itahelp smhw!!
6)First time sex!!! How old were you then? Na first time sex with a new guy now, kile kihoro unakabilianaje nacho? Unawashaurije wa kaka kujiandaaje kutupunguzia stress?

 
lara 1

lara 1

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2012
Messages
15,623
Points
2,000
lara 1

lara 1

JF-Expert Member
Joined Jun 10, 2012
15,623 2,000
Hahahaaaaaaa!

Qn 5. Vipi mambo ya kisasa ya MIC unshika na kuimbia single au jst for the intended use by God! LOL!
 
lara 1

lara 1

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2012
Messages
15,623
Points
2,000
lara 1

lara 1

JF-Expert Member
Joined Jun 10, 2012
15,623 2,000
Bootom line is you give no matter to who but yo do!!!!!!!!! LOLEST!

7)Good looking men are irressistable bt ndo wenye worst attitude issues, kujiona, mashauzi, heavy competitionunaliongeleaje hili?


 
Nicole

Nicole

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2012
Messages
4,282
Points
0
Nicole

Nicole

JF-Expert Member
Joined Sep 7, 2012
4,282 0
Ni kwel gudlkng men wana attitude..nadhani kwavile wanajua wana demand kubwa sokoni...sion tatizo ktk hilo kwan men ni men and women are women...and we hav that power they cant resist whether thy are gudluking ama bad luking...
Bootom line is you give no matter to who but yo do!!!!!!!!! LOLEST!

7)Good looking men are irressistable bt ndo wenye worst attitude issues, kujiona, mashauzi, heavy competitionunaliongeleaje hili?


 
lara 1

lara 1

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2012
Messages
15,623
Points
2,000
lara 1

lara 1

JF-Expert Member
Joined Jun 10, 2012
15,623 2,000
They can change their attitude but they choose not to!!!!!!!!

8) Times are changing and Girls are becomming courageous, wanatreat wanaume, wanahonga hadi kuwatongoza live! Unajipangaje kukabiliana na ushindani huu kutoka kwa wenzetu wa .com

 

Forum statistics

Threads 1,283,501
Members 493,720
Posts 30,791,973
Top