MMU EXCLUSIVE!!!!!!!! Ciello Kufunguka on her Dating Life style and Journey to Become a Wife!!!!!!!

Hahahahahaha Ciello 80% ya wanadamu wanafanya mambo yenye utata ndani yake kwa kusudi!

Rutta stop harrasing my client/guest nitchukua court order sasa hivi kwa Invisible usiruhusiwe kum quote!!!!!! Katerero kashaikataaaaaaaaa!

Mwwache bana ananipa list ya Pm, kuna kifutajasho cha uhost, i have to get the inside storry!!!
 
Bora umekiri mwenyenyewe lara 1

All i do babu is make them quetions interesting, majibu ya mgeni yako nje ya uwezo wangu! I cant put words in her mouth!

Show ya wiki hii Ijayo ni KIBOKO!!!!!!!! True Life Comfession!!!!!! Sisemi mengi!
 
All i do babu is make them quetions interesting, majibu ya mgeni yako nje ya uwezo wangu! I cant put words in her mouth!

Show ya wiki hii Ijayo ni KIBOKO!!!!!!!! True Life Comfession!!!!!! Sisemi mengi!

Poa lara 1, nitakutafuta tutete kidogo jinsi ya kuextract data kutoka kwa wajukuu
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahahahahahahahahaha
Ok understood!
LARA1,Hamu ya kujua muda mwingine Upelekea kuzungukwa kirahisi!

Rutta stop harrasing my client/guest nitchukua court order sasa hivi kwa Invisible usiruhusiwe kum quote!!!!!! Katerero kashaikataaaaaaaaa!

Mwwache bana ananipa list ya Pm, kuna kifutajasho cha uhost, i have to get the inside storry!!!
 
Last edited by a moderator:
Nina hofu ya kukupoteza kwenye kambi.. na shahidi amejitokeza Madam B
Naona hapa atabaki dady yangu tu MM ndo mwaminifu
Zion Daughter,

Najua una mapenzi makubwa kwa Babu ndo maana unakuwa hypersensitive...

Bwaga moyo mjukuu wangu....Babu hajabadilika na hatakaa abadilike...

Ukiona jambo tofauti basi ni upepo tu...

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Siku hyo ndo utajua.


Hebu basi kuwa na adabu wewe binti....

Hayo unayasema toka kwenye kichwa kisafi au ni nguvu ya bhange??

Utanipata wapi wakati mie nafuarahia pensheni yangu, nikiwa na Bibi ananipepea kupunguza makali ya joto la Makorora??

Babu DC!!
 
Yani bora ummwambie daddy wako asichanganyike na huyu mzee,
atampoteza dadio.


Kama mganga wako alikuwa yule Shekh wa Mwembechai, mbona alisharudisha hesabu siku nyingi??

Naona unataka kujifunza ulozi ukiwa bado katoto kadogo...kasikojua A wala B....

Hebu tulizana basi, vinginevyo utakuja kukutana na mijipapa itakuzamisha kwenye maji ya kina...shaurilo!

Babu DC!!
 
Hahahah ngoja nifikirie....mbona maswal yako mengi kuna nn kwenye swali hilo?
hongera kwa kufunguka vizuri Ciello ,,,ila watu utamu wote ulikuwa kwenye hilo swali.

Mnapenda mzijue nasties zangu...mbona zenu hamsemi?
bado hatujapata fursa ya kufanyiwa interview bibie. funguka tu ndo utamu wenyewe wa exclusive interview ,kuwa hayo majibu ni yako tu hawezi kuwa nayo mwingine.

Hahahah hili swali gumu bana...uliza jingine
ha ha ha ha ha! unamuogopa nani ,babu Asprin nini?

Hahah watu wanapenda kunisoma 2 nikiwapa ofa ya kuonana fac 2 fac wanaingia mitini lol
aaaaaaha!!!! haiwezekani bana............

kweli ndiyo...ukitoa one nit stands lakini...Vigezo ni vilevile wanavyotumia wasichana wengi , kama character ya mhusika,physical features na upeo wa kung’amua ishu mbalimbali za maisha……. binafsi navutiwa na mwanaume anayenizidi upeo au ambaye tuko on same level, bt most anayenizidi upeo kwani hunipa challenge ya kujiongeza na mie kiasi flani, then physically awe mwembamba, mrefu, maji ya kunde na wote nilowahi wadate walikuwa na sifa hizo………mengine yatafwata badaye
hapo kwenye upeo sifahamu kwasababu hatujuani ,ila hapo kwenye physical appearance ulikuwa unatumia taswira yangu kujibu hilo swali nini?
 
Dah wajua siwezi sema kwa maandishi linafaa kwa praktiko....
rafiki hapa upo mstari mmoja na mimi, haya huwa hayaelezeki kabisa kwa maneno bwana.....
hongera kwa interview shosti, mimi hata robo ya uliyounguka nisingeweza, lol!
 
Back
Top Bottom