MMU Dar Members: Meeting Proposal.

Bramo

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
13,160
10,007
Na post Hii Thread nikiwa sijaiona hapa Jamvini,
Kwa wale members wa MMU ambao tupo Dar (Nikiwa Mmoja wao) naomba tu propose day tu mit, tufahamiane, Namba za Simu tubadilishane n.k n.k n.k.
Napendekeza Tarehe za Mwanzoni mwa August.
Moods Naomba Mu i treat hii Thread as an independent one.

Thanks in Advance
 
members wapya mna matatizo sana....!jf tuunaijua thamani na hadhi yake,tumetoka nayo mbali....na tunakutana daily....as from then sisi tunaishi kama familia na ndugu wamoja.
mfalme wa amani is hereby welcoming you to join the club....and trust me my dear.....uthubutu wa wanajf kukutana ulianzia dar!check me kwa mwongozo zaidi.....

teamo hapa
 
Huyu aliyeamua kuwalaumu members wapya amenifanya nicheke. Muanzisha mada inaonekana amejiunga long time ago, lakini kwa kuwa mada yake haijamfurahisha mkuu hapo juu basi wanalaumiwa new comers. Hii kweli kali!

Siyo mbaya kukutana na kufahamiana, at every one's own risk..
 
Mkuu inaelekea umetokea DODOMA huko kwa wakina matonya shida yako Uanze kutembeza bakuli tukisha kutana shem on u.Sioni faida yoyote ya kukutana wana jf.Kupoteza muda tu.
 
Mkuu inaelekea umetokea DODOMA huko kwa wakina matonya shida yako Uanze kutembeza bakuli tukisha kutana shem on u.Sioni faida yoyote ya kukutana wana jf.Kupoteza muda tu.
We nawe sijui niseme una mawazo mgando...umechoka au umefulia. Kufahamiana na watu na kuomba omba wapi na wapi?!Kama ndio tabia yako au ya watu unaowajua usidhani na wengine ndo walewale.
 
Na wewe nae Mahusiano, Mapenzi na Urafiki na kanisa la mt. Joseph wapi na wapi? Unamtindio wa fikra nin?
Heshima yako umemwazima nani?!Kama mahusiano yangekua hayana uhusiano na dini ndoa zisingefungwa makanisani na misikitini...watu wasingepewa mafunzo yahusiano na MMU sehemu za ibada.Nadhani hizo sababu mbili zinatosha kuonyesha kama ulifikiria kabla ya kuandika au uliandika kabla ya kufikiria.JUMAPILI NJEMA!
 
Thank u Lizzly for this useful post.
 
Heshima yako umemwazima nani?!Kama mahusiano yangekua hayana uhusiano na dini ndoa zisingefungwa makanisani na misikitini...watu wasingepewa mafunzo yahusiano na MMU sehemu za ibada.Nadhani hizo sababu mbili zinatosha kuonyesha kama ulifikiria kabla ya kuandika au uliandika kabla ya kufikiria.JUMAPILI NJEMA!
teh! teh! teh! Lizzy huyo teh!
 
Back
Top Bottom